Zijue Aina Mbali Mbali za Vitambi

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
Wapendwa wana JF, leo nimeamua kutoa somo la bure kuhusu aina mbali mbali za vitambi ili iwe rahisi kuvitambua na kufahamu yale yanayohusiana na hivyo vitambi. Nianze kwa kusema kuwa vitambi viko katika makundi 6:-

1. KITAMBI MVURUGO - Hiki kitambi kimekaa kama O kinapatikana kwa kula sana kitimoto

2. KITAMBI MCHUCHUMIO - Hiki kitambi kimekaa kama herufi D kinatokana na kula sana
michemsho na bia za ofa

3. KITAMBI MBONYEO - Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa, ila
akisimamishwa kazi kinaisha haraka sana.

4. KITAMBI MTEPETO - Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. Hiki
kinasababishwa na kula mno vipolo

5. KITAMBI MFUMANIO - Hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na
utapiamlo wa ukubwani

6. KITAMBI MTUNGUO - Hiki wanacho sana akina dada na wanawake, kina umbo la yai. Hiki
kwa "diet" hakitoki labda kwa maombi tu.

Je kitambi cha ndugu yako, partner wako, wewe mwenyewe au cha boss wako kiko kundi lipi??
 
Jiulize kwanza cha baba yako kiko kundi gani? Kujua vitambi kunatusaidia nini wewe NYANI? . Kama unachakuandika kanye kisha ukalale
 
Jiulize kwanza cha baba yako kiko kundi gani? Kujua vitambi kunatusaidia nini wewe NYANI? . Kama unachakuandika kanye kisha ukalale
Vipi limekuchoma, limekukuna na kukuwasha? Kama una kitambi cha vipolo umeumbuka!
 
Vipi limekuchoma, limekukuna na kukuwasha? Kama una kitambi cha vipolo umeumbuka!
Usipime ndugu yangu, njoo whatsaap au viber uone mwili. Na mwili mzuri habari ndio hiyo. Sijaona umuhimu wa kujua vitambi maana doesnt mean anything. Ukivijua then what? Unless post yako ni comedy or jokes, it is not funny either lol
 
Picha tafadhali, kwa kila aina ya kitambi.
 
Usipime ndugu yangu, njoo whatsaap au viber uone mwili. Na mwili mzuri habari ndio hiyo. Sijaona umuhimu wa kujua vitambi maana doesnt mean anything. Ukivijua then what? Unless post yako ni comedy or jokes, it is not funny either lol
Punguza ujinga, kama hukuwa interested kakojoe ulale na huhitaji kuweka kende zako hapa kuchangia.
 
Punguza ujinga, kama hukuwa interested kakojoe ulale na huhitaji kuweka kende zako hapa kuchangia.
Nadhani hilo ndilo jibu stahiki kwa mjinga kama huyo. Siyo lazima posti zote zinazowekwa hapa jukwaani ziwe za kumfurahisha yeye. Kama anaona kitu hakimfurahishi kwa nini asikipuuze? Mtu mwenyewe akawa anajua kuchangia au kuanzishia topic, atakuwaje na post 175 tangu mwaka 2007??!!

Join Date : 5th October 2007
Location : Coventry UK
Posts : 175
Rep Power : 646
Likes Received 10
Likes Given 6
 
Duh, waswahili mna maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…