Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,198
Wapendwa wana JF, leo nimeamua kutoa somo la bure kuhusu aina mbali mbali za vitambi ili iwe rahisi kuvitambua na kufahamu yale yanayohusiana na hivyo vitambi. Nianze kwa kusema kuwa vitambi viko katika makundi 6:-
1. KITAMBI MVURUGO - Hiki kitambi kimekaa kama O kinapatikana kwa kula sana kitimoto
2. KITAMBI MCHUCHUMIO - Hiki kitambi kimekaa kama herufi D kinatokana na kula sana
michemsho na bia za ofa
3. KITAMBI MBONYEO - Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa, ila
akisimamishwa kazi kinaisha haraka sana.
4. KITAMBI MTEPETO - Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. Hiki
kinasababishwa na kula mno vipolo
5. KITAMBI MFUMANIO - Hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na
utapiamlo wa ukubwani
6. KITAMBI MTUNGUO - Hiki wanacho sana akina dada na wanawake, kina umbo la yai. Hiki
kwa "diet" hakitoki labda kwa maombi tu.
Je kitambi cha ndugu yako, partner wako, wewe mwenyewe au cha boss wako kiko kundi lipi??