Zijue aina nne (4) za michepuko

hahaha Duuh mbavu zangu..mchepuko sio dili baki njia kuu
As general rule yes, ila sasa kuna kuwa na changamoto za hapa na pale njia kuu;sasa hapo ndiyo unatokea ulazima wa michepuko. Unataka kuniambia hujawahi chepuka hata siku moja!?
 
As general rule yes, ila sasa kuna kuwa na changamoto za hapa na pale njia kuu;sasa hapo ndiyo unatokea ulazima wa michepuko. Unataka kuniambia hujawahi chepuka hata siku moja!?


bado sijachepuka kawazo ka kujichepua hakapo kabisa
 
umesahau chepuko hili......eat n run.......sijui tuliiteje?
 
Zijue aina nne za michepuko:

1. MCHEPUKO LAMI
Huu ni ule ambao hauombi Pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

2. MCHEPUKO VUMBI
Huu ni ule wa vibomu mara sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli. Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

3. MCHEPUKO KOKOTO
Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei Simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu,yaani tabu tupu.

4: MCHEPUKO GANZI
Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu.
 
Jamani tunapenda dezo. Yaani mchepuko hutaki hata kugaramia kidogo? Kwani kumrushia mtu vocha za kueleweka, kumpeleka out, kumkodishia makazi nk si ndio haki zake? Najua mkono unajikuna pale unapofika, hivyo gharama zinategemea na uwezo wako. IMHO. Kwani hata yule barmaid wa hit and run unamwachia cha mbele ati....
 
Hahaaaa dah mchepuko vumbi hahaaas
Ila ganzi Nona nimecheka mpaka machozi yananitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…