Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As general rule yes, ila sasa kuna kuwa na changamoto za hapa na pale njia kuu;sasa hapo ndiyo unatokea ulazima wa michepuko. Unataka kuniambia hujawahi chepuka hata siku moja!?hahaha Duuh mbavu zangu..mchepuko sio dili baki njia kuu
As general rule yes, ila sasa kuna kuwa na changamoto za hapa na pale njia kuu;sasa hapo ndiyo unatokea ulazima wa michepuko. Unataka kuniambia hujawahi chepuka hata siku moja!?
Nafikiri unamaanisha Hit and Run!umesahau chepuko hili......eat n run.......sijui tuliiteje?
yep,,,, hilo nalo limetulia mno..... no ding ding, no stress at all...Nafikiri unamaanisha Hit and Run!
Lami ndo mzuri