Zijue athari zitokanazo na hizi Bahati Nasibu zilizoibuka katika Redio mbalimbali kwa Watu/ Jamii

Zijue athari zitokanazo na hizi Bahati Nasibu zilizoibuka katika Redio mbalimbali kwa Watu/ Jamii

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Kuongeza Umasikini kwa Kubahatisha

2. Moyo Kudunda sana kwa kuwaza kama utashinda au hapana

3. Uwizi wa Fedha Kwingineko ili ucheze hizi Bahati Nasibu kila mara au kila Siku

4. Wivu na Chuki Kuongezeka kwa Walioshinda

5. Kumkufuru Mwenyezi Mungu kama Mmoja anacheza mno ila hafanikiwi na badala yake anapuruliwa/ analiwa Yeye tu

6. Watu kutopenda Kujishughulisha katika Kuchapa Kazi ili kujiletea Maendeleo na pia Kuiletea Maendeleo nchi ya Tanzania

7. Saikolojia za Watu hasa Washiriki wengi Kuathirika na kupelekea kutokuwa mbali Kuugua Akili au hata tu kufanya mambo ya Ajabu

Buku Buku za Watu zimeliwa mno tu.
 
Back
Top Bottom