Zijue baadhi ya koo za Kizaramo, asili na maana yake

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanao tokea upande wa morogoro ni waongeaji sana kumbe zao moja na wapwani,waluguru+wandengereko,+wazaramo
 
Mhh, ahsante
Nimevutiwa na ukoo namba 5, ule wa chuma kimejilegeza na majina yao kwa jinsia. Nzuri
 


Kuna wadoe....ni wanyamwezi hao
walikuja kupigana..wanaitwa wadoe kwa maana ya kudoea
walikuwa wanadoea kwa wazaramo
 
Kumbe ndio maana hata lugha wanasikiana kati ya waluguru, wakwere na wazaramo
 
Kuna wadoe....ni wanyamwezi hao
walikuja kupigana..wanaitwa wadoe kwa maana ya kudoea
walikuwa wanadoea kwa wazaramo
okayy..shukrani mkuu kwa maelezo, nitaifanyia kazi historia yao nikirudi dutumi...
 
Mkuu Bwana Banzi asante kwa historia hii mujarabu. Umenikumbusha zamani sana marehemu bibi alivyonihadithia kwamba zamani hali ilipokuwa ngumu walienda Kolelo kwenye mizimu yao kuomba wakitokea Pwani au Dar es salaam. Ebu nipe historia hili koo za Hongo,Shomvi,Kawambwa na Kinyamkera kama una habari zake. Maana naona linatumika kwa Waluguru na Wazaramo
 
sawa mkuu, nitajaribu kufuatilia nijue historia kwa undani...ahsante kwa nyongeza
 
Hahaaa hata warangi na wajita wanaongea haraka.Uharaka katika lugha ulioimaster inategemea na lugha yako ya kwanza.Kama lugha yako ya awali iko slow pia itaathiri lugha ya pili.
 
Wazaramo nawakubali sana kwa kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…