Zijue faida na hasara za kuajiriwa

Raha ya kuajiriwa pekee ni kuchukua mkopo na ukajenga nyumba na kufungua biashara ndogo ,hata ukikosa kazi na mkopo hutadaiwa tena.Lakini si kukopa na kununua magari ya kutembelea,au furniture
 
Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
 
Duh, hii kali zaidi.!
 
Kaka hata ajira yako Binafsi ukitaka utusue shart ikuoe
 
Kwa awamu hii ya magufuli, tuliochukua uamuzi wa kuacha kazi na kujiajiri, kuna wkt unafukiria bora ungebaki na ajira yako.

Mzunguko mdogo sana, watu wengi wanakopa, pesa ngumu kupatikana na ikipatikana thaman yake ndogo sanaa
umeongea ukweli dah watu wanakopa kurudisha pesa usanii mtupu dah mpaka kichwa kinauma wakikopa tu hawakai kutumia ila kulipa wagumu
 
Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
ha ha ha hyo ya pili umeua
 
Raha ya kuajiriwa pekee ni kuchukua mkopo na ukajenga nyumba na kufungua biashara ndogo ,hata ukikosa kazi na mkopo hutadaiwa tena.Lakini si kukopa na kununua magari ya kutembelea,au furniture
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji12] [emoji13] [emoji14]
 
Kuajiriwa huwezi ukapendeza kuliko boss na ukipendeza yaani umenunua nguo au kwa ulimwengu wa teknolojia ukanunua hata smartphone unaangaliwa kwa jicho la tatu boss anahisi unamwibia mm ni mojawapo ya mwajiriwa[emoji122]
 
Hapo kw muajiri atasema nn? Kesho inasumbua watu sana,utasikia tumebadilisha ratiba hatutakuw off, unachoka unaishia kutukana tu
 
Hiyo ina cost watu wengi Sana ndo maana mtu mwenye mtaji anahamua kwenda kufanya shughuli zake na kuw karibu na familia yke, linauma lkn ulaingia mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…