Joseph Obimbo
Member
- Jun 20, 2020
- 62
- 34
Umekomalia biashara moja na huna nidhamu ya elaKwa awamu hii ya magufuli, tuliochukua uamuzi wa kuacha kazi na kujiajiri, kuna wkt unafukiria bora ungebaki na ajira yako.
Mzunguko mdogo sana, watu wengi wanakopa, pesa ngumu kupatikana na ikipatikana thaman yake ndogo sanaa