Zijue faida na hasara za kuajiriwa

Zijue faida na hasara za kuajiriwa

Kwa awamu hii ya magufuli, tuliochukua uamuzi wa kuacha kazi na kujiajiri, kuna wkt unafukiria bora ungebaki na ajira yako.

Mzunguko mdogo sana, watu wengi wanakopa, pesa ngumu kupatikana na ikipatikana thaman yake ndogo sanaa
Umekomalia biashara moja na huna nidhamu ya ela
 
Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
Apo kwenye ndoa nakupinga.
 
Ajira ina Raha yake, Nyie endeleeni kujidanganya tu, usikute mtu anayeioonda Ajira hajawahi kuipata hivyo anaiponda kwa kujifariji. Kwamba sizitaki mbichi hizi.

Kwa upepo huu wa Mjomba biashara Ni ngumu mtaani tunaona zinavyoyumba na kufilisika, Halafu anatokea mtu anaponda Ajira ukimhoji vizuri utakuta hata Vyeti vya Ajira Hana.
 
Upo sahihi ila hasara hizi unaweza kuzipata zaidi endapo uta ajiliwa na mtu binafsi especially kama haihisiani na elimu yani ilimradi ujue tu kusoma na kuandika aisee utajutaa wale wazee wa 7000 kwa muhindi inakua kazi ku make yaani ukipata hiyo pesa unaishia kula tu
Hata izo za kupewa kuanzia lake nne izo ni matatizo pia, cha msingi tu maisha ya kuishi kw amani ni jambo moja tu ukiamua kujiajiri bila kusukumwa au kushauriw na mtu yeyote kujiajiri muhimu Sana sema tu vijana wengi tunapenda shughuli zote tufanyie mjini ndo maana lkn kuna vitu ambavyo unaweza shamabani kuleta mjini, hata Mo anatoa malighafi shambani.
 
Back
Top Bottom