Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla sijakupigia niambie kwanza haumbi helaa???

mimi ni mvivu sana wa kula breakfast, lakini mchanganyiko huu ambao nautumia asubuhi kabla sijaenda job, umenisaidia sana;
plain yogurt, maembe, ndizi na parachii yote nachanganya kwenye blender alafu napiga glass 2.
Yaani hapo njaa hainitafuni mpaka lunch time.