Zijue faida za kuamka mapema kila siku

Asante kwa Elimu
 
Tabia endelevu ya kuchelewa kuamka upunguza nguvu za kiume kabisa ...ni dalili pia ya kukata tamaa ya maisha kwa mtoto au kijana au mtu mzima...wapumbavu watabisha ila ni ukweli mtu anaye chelewa kuamka nguvu zake za kiume kwa wanaume ufa kabisa kwa asilimia 80%
 
Jitahidi usome na biblia ujipatie maarifa zaidi. Mashairi ya Quran hayatoshi kukupa chakula cha ubongo.
 
Hebu fafanua vizuri, kuchelewa kuamka kunahusiana vipi na nguvu za kiume!
 
Hebu fafanua vizuri, kuchelewa kuamka kunahusiana vipi na nguvu za kiume!
Tumia akili kutafuta majibu siyo kila kitu utafuniwe tu ...hata hofu endelevu usababisha nguvu kufa ....hata kuupiga vita mfumo dume kuna sababisha kufa kwa nguvu za kiume maana kuupiga vita mfumo dume kunamwacha mwanaume kupoteza roho ya kiume ya kutembea kifua mbele yaani mwanaume kuwa mwanaume kweli kweli .
 
Achana na msahafu unakupumbaza mimi nikisha sema kitu ni upumbavu tambua tu bila ya shaka kuwa ni upumbavu sibahatishi.
 
Mimi kwa kutumia akili yangu sioni kama kuchelewa kuamka kunapunguza nguvu za kiume ndio maana nimetaka ufafanuzi! Akili yako binafsi haiwezi kukupa majibu ya kila kitu. Haya maelezo yako hujaeleza, inakuwaje kuchelewa kuamka iwe na uhusiano na kupunguza nguvu za kiume?
 
Nyau de adriz le nyambulet enuchii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…