Zijue faida za kuamka mapema kila siku

 
Achana na msahafu unakupumbaza mimi nikisha sema kitu ni upumbavu tambua tu bila ya shaka kuwa ni upumbavu sibahatishi.
Wewe jamaa bila shaka unavuta bange , kwa nini unaimani akili yako mbovu kupita maelezo unasema kwa mapana eti "Wewe ulisema kitu ni upumbavu bila shaka ni upumbavu haubahatishi " kwa nini unafunga milango kuwa wewe ndio mwisho wa kila kitu wakati hata watu wenye akili kubwa huwa hawajiamini hata wakifanya research ya uhakika huwa wanaacha gap kuwa ikitokea mtu kaja na tafiti Bora zaidi ya yake ataifuatilia kama haki atasapoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…