Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Vijana wengi wa siku hizi wanaona ni ujanja 'kukojoa' kila sehemu,mtu hawezi kukaa siku mbili bila kutoa manii,iwe kwa kusex au punyeto.
Kiafya na kiroho sio salama sana,sasa zifuatazo ni faida utakazopata ukitunza shahawa zako na kujiepusha na zinaa..
1.Itaongeza kujiamini..
2.Itaongeza ngu zako kiroho
3.Uso wako na ngozi vitakua na nuru.
4.Mvuto wako kwa watu utaongezeka..hasa mabinti.
5.Utimamu wako wa akili utaongezeka.
6.Utaboresha afya yako ya akili.
7.Utaongeza kumbukumbu.
8.Kinga zako kiroho zitaongezeka.
9.Utajiepusha na nuksi na mabalaa yatokanayo na zinaa.
Hizo ni baadhi tu ya faida,lakini kimsingi anguko la vijana wengi siku hizi liko kwenye uzinzi..ukifanikiwa kujiongoza kwenye hilo utaona pia mafanikio yakikujia..
Zinaa haijawahi kumuacha mtu salama..uzinzi una gharama! Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.