min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sijui mkuu ila kwa mbege zipo fekihata pombe za kienyeji nazo kuna feki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuu ila kwa mbege zipo fekihata pombe za kienyeji nazo kuna feki?
ulikoota kulikuwa na dampo kabla ya nyumba kujengwa hapo, kuna ka mboleambolea hapo kulikoota mmea huo, naona unakua haraka na kusitawi vema, ndio kwanza naushangaa mmea huo maarufu kwa mtazamo kuwa ni dawa ya kulevya. Nitaung'oa isiwe taabu, kuna vijana wavuta bangi jirani wakiuona itakuwa ni chumo laoMkuu bora uukate tu!
mbege feki kwamba ndizi hazikuiva vema au?Sijui mkuu ila kwa mbege zipo feki
Hapo kwenye pombe ni nini ? Umedanganywa .😁😁😁Kama ulikua hujui faida ya POMBE MWILINI wacha nikufahamishe;-
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara,
Sasa leo wacha nikufahamishe faida ya kunywa pombe,
Lakini kabla sijakuletea faida ya pombe mwilini,
Wacha kwanza nikufahamishe pombe ni nini,
Pombe ni neno ambalo linajumuisha aina zote za vilevi unazozifahamu,
Kiafya mwanaume anatakiwa anywe pombe zisizo zidi chupa mbili kwa siku,
Wakati mwanamke anatakiwa anywe chupa moja.
FAIDA ZA POMBE
1) HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO
Unywaji wa pombe kwa kiasi huongeza aina fulani ya lehemu nzuri inayoitwa high density lipopoprotein,
Lehemu hii hulinda moyo lakini pia pombe hulainisha damu,
Na kuifanya iwe nyepesi hivyo kupita kirahisi kwenye mishipa ya damu na kuzuia presha na kiharusi,
Lakini pia kwa kiasi fulani huzuia ugonjwa wa moyo.
2) HUONGEZA UMRI WA KUISHI.
Pombe huongeza umri wa kuishi kwa asilimia 18% zaidi ukilinganisha ja wale wasiokunywa.
3) HUONGEZA NGUVU ZA KIUME.
Pombe huongeza nguvu za kiume kwa asilimia 25% zaidi ya wale wasiokunywa,
Waokunywa pombe ni mashaihidi wa hili kwamba,
Muda ule ukiwa umekunywa pombe hamu inakua juu sana,
Na ukipata mwanamke unafanya vizuri zaidi kuliko ukiwa hujanywa,
Ikiwemo pamoja na kuchelewa sana kufika kileleni na kua na uume wenye nguvu sana kuliko kawaida.
4) HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA KISUKARI.
Unywaji wa pombe kwa kiasi huongeza uwezo wa homoni ya insulini kufanya kazi vizuri,
Ambapo hali hii hupunguza hatari ya kupata ugonjwa hatari wa kisukari.
5)HUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA UGONJWA WA AKILI.
Unywaji wa pombe kwa kiasi kinacho hitajika,
Hupunguza wa asilimia kubwa kuugua ugonjwa wa akili.
6) HUZUIA KUPATA MAWE KWENYE NYONGO.
Ugonjwa huu kitaalamu unaitwa gallstones,
Pombe hupunguza sana mtu kupata ugonjwa huo.
7) HUUPA MWILI MADINI MUHIMU.
Pombe ina madini muhimu yanayo hitajika mwilini,
Kwasababu pombe nyingi zina vitamin B nyingi aina ya thiamine na riboflavin,
Lakini pia zina calcium na magnesium nyingi,
Ambayo ni muhimu sana kwa jili ya kazi mbalimbali za mfumo wa mwili wa binadamu.
8) POMBE NI MZURI KWA WANAWAKE WENYE ZAIDI YA MIAKA 50.
Baada ya umri wa miaka 50 mwanamke huanza kupata dalili za kupungua kiasi cha homone mwilini kitaalamu kama monopause,
Hali hii husababisha mwanamke kubadilika tabia,
Ikiwemo mwili kuwa na joto zaidi au kushuka zaidi,
Pia wanawake wengine hupatwa na msongo wa mawazo,
Sasa utafiti unaonyesha kwamba kemikali zilizopo ndani ya bia,
Zinaweza kufanya kazi ya kuondoa hali hiyo inayo sababishwa na monopause.
9) HUONGEZA KUMBUKUMBU.
Kama wewe ni mnywaji wa pombe utaamini hiki ninacho kisema,
Kwani mara nyingi ukinywa unaanza kukumbuka mambo ya zamani sana.
10) HUSAIDIA FIGO.
Unywaji wa pombe kwa kiasi kinachotakiwa,
Kunapunguza hatari ya kupata mawe ya figo kwa asilimia 30% zaidi,
Kuliko wale ambao hawanywi pombe kabisa,
Hii ni kwasababu wanywaji wa pombe hukojoa sana na kusafisha figo.
NB;- Faida hizi hupatikana tu kwa wale wanaokunywa pombe,
Kama nilivyoelekeza hapo juu kwa maana ya kiasi kinachohitajika tu kiafya,
Nasio kwa watu wanaokunywa pombe kupitiliza,
Unywaji wa kupitiliza una madhara makubwa sana kiafya.
View attachment 3247312
Moderation is the secret kwenye kila kitu duniani!Hasara za pombe
1.Huongeza uwezekano wa kuugua ugonjwa wa kisukari
2. Huongeza uwezekano wa kuugua BP
3. Huleta aibu na fedheha kwa mnywaji katika jamii.
4.Hupunguza kumbukumbu
5. Huchangia ugonjwa wa figo
6. Huchangia ugonjwa wa ini
7. Huongeza uwezekano wa kupata ugonjwa wa akili
8. ...
9......
Chai tu kama chai nyingineKama ulikua hujui faida ya POMBE MWILINI wacha nikufahamishe;-
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara,
Sasa leo wacha nikufahamishe faida ya kunywa pombe,
Lakini kabla sijakuletea faida ya pombe mwilini,
Wacha kwanza nikufahamishe pombe ni nini,
Pombe ni neno ambalo linajumuisha aina zote za vilevi unazozifahamu,
Kiafya mwanaume anatakiwa anywe pombe zisizo zidi chupa mbili kwa siku,
Wakati mwanamke anatakiwa anywe chupa moja.
FAIDA ZA POMBE
1) HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO
Unywaji wa pombe kwa kiasi huongeza aina fulani ya lehemu nzuri inayoitwa high density lipopoprotein,
Lehemu hii hulinda moyo lakini pia pombe hulainisha damu,
Na kuifanya iwe nyepesi hivyo kupita kirahisi kwenye mishipa ya damu na kuzuia presha na kiharusi,
Lakini pia kwa kiasi fulani huzuia ugonjwa wa moyo.
2) HUONGEZA UMRI WA KUISHI.
Pombe huongeza umri wa kuishi kwa asilimia 18% zaidi ukilinganisha ja wale wasiokunywa.
3) HUONGEZA NGUVU ZA KIUME.
Pombe huongeza nguvu za kiume kwa asilimia 25% zaidi ya wale wasiokunywa,
Waokunywa pombe ni mashaihidi wa hili kwamba,
Muda ule ukiwa umekunywa pombe hamu inakua juu sana,
Na ukipata mwanamke unafanya vizuri zaidi kuliko ukiwa hujanywa,
Ikiwemo pamoja na kuchelewa sana kufika kileleni na kua na uume wenye nguvu sana kuliko kawaida.
4) HUPUNGUZA HATARI YA KUPATA KISUKARI.
Unywaji wa pombe kwa kiasi huongeza uwezo wa homoni ya insulini kufanya kazi vizuri,
Ambapo hali hii hupunguza hatari ya kupata ugonjwa hatari wa kisukari.
5)HUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA UGONJWA WA AKILI.
Unywaji wa pombe kwa kiasi kinacho hitajika,
Hupunguza wa asilimia kubwa kuugua ugonjwa wa akili.
6) HUZUIA KUPATA MAWE KWENYE NYONGO.
Ugonjwa huu kitaalamu unaitwa gallstones,
Pombe hupunguza sana mtu kupata ugonjwa huo.
7) HUUPA MWILI MADINI MUHIMU.
Pombe ina madini muhimu yanayo hitajika mwilini,
Kwasababu pombe nyingi zina vitamin B nyingi aina ya thiamine na riboflavin,
Lakini pia zina calcium na magnesium nyingi,
Ambayo ni muhimu sana kwa jili ya kazi mbalimbali za mfumo wa mwili wa binadamu.
8) POMBE NI MZURI KWA WANAWAKE WENYE ZAIDI YA MIAKA 50.
Baada ya umri wa miaka 50 mwanamke huanza kupata dalili za kupungua kiasi cha homone mwilini kitaalamu kama monopause,
Hali hii husababisha mwanamke kubadilika tabia,
Ikiwemo mwili kuwa na joto zaidi au kushuka zaidi,
Pia wanawake wengine hupatwa na msongo wa mawazo,
Sasa utafiti unaonyesha kwamba kemikali zilizopo ndani ya bia,
Zinaweza kufanya kazi ya kuondoa hali hiyo inayo sababishwa na monopause.
9) HUONGEZA KUMBUKUMBU.
Kama wewe ni mnywaji wa pombe utaamini hiki ninacho kisema,
Kwani mara nyingi ukinywa unaanza kukumbuka mambo ya zamani sana.
10) HUSAIDIA FIGO.
Unywaji wa pombe kwa kiasi kinachotakiwa,
Kunapunguza hatari ya kupata mawe ya figo kwa asilimia 30% zaidi,
Kuliko wale ambao hawanywi pombe kabisa,
Hii ni kwasababu wanywaji wa pombe hukojoa sana na kusafisha figo.
NB;- Faida hizi hupatikana tu kwa wale wanaokunywa pombe,
Kama nilivyoelekeza hapo juu kwa maana ya kiasi kinachohitajika tu kiafya,
Nasio kwa watu wanaokunywa pombe kupitiliza,
Unywaji wa kupitiliza una madhara makubwa sana kiafya.
View attachment 3247312
da!!,,jamaa wamelala kama ksongo aliyeshiba!!Pia pombe inaweza sababisha vyote ulivyotaja kwa njia hasi hivyo ni vizuri kufanya mazoezi na kuitumia kwa uangalifu mkubwa.
Note, pombe nyingi Tz ni feki na hazina viwango