Zijue fursa zinazopatikana Handeni mkoani Tanga ambazo zitakufanya uwe tajiri kwa muongo mmoja tu

Ufanye biashara ya bolt au tax mkata,kabuku au handeni mjini? Basi wewe utakua chizi sasa mkata aende wapi
Mkuu miji inakua ile watu wanatoka kwenye kutumia boda boda kuvusha mishangazi na mitaa kama yote

Hiyo ni kwa kuanza kumbuka siku zote muanzilishi ndio anakuwa first kukutwa na upepo wa mafanikio jitose upige pesa
 
Umakaririshwa ivo life circle yako itaishi humo humo

Si ajabu hadi leo unaamini

Wahehe wanakula mbwa,

Tanga ndiko mapenzi yaliko zaliwa

Mtwara wanakula panya

Wapare wanakula ugali kwa picha ya samaki

na scandal nyingine za kipuuzi
Watu tumeishi Tabora na tumepata pesa nyingi na huo uchawi haukuwahi kutupata acha kukalili mkuu
 
Mkuu miji inakua ile watu wanatoka kwenye kutumia boda boda kuvusha mishangazi na mitaa kama yote

Hiyo ni kwa kuanza kumbuka siku zote muanzilishi ndio anakuwa first kukutwa na upepo wa mafanikio jitose upige pesa
Mkata,segera,hiyo kabuku na vumbi lile jekundu bado sana all in all mkata pako poa sana aiseee
 
Usiogope mkuu kuwa the first kuanzisha kitu usingoje wenzio waanzishe nawewe uige mimi nimekuibia lonja ni juu yako kutake risk au ungoje kuiga
 
Mkata,segera,hiyo kabuku na vumbi lile jekundu bado sana all in all mkata pako poa sana aiseee
Hongera mkuu kwa kuizunguuka handeni naamini utakuwa umeona fursa mbalimbali za miji na vijiji ulivyotaja hizo nilizotaja nimedokeza tu kwa maono yangu

Vipi kwa maono yako?

Ni kweli mkata pamechangamka sana na uzi wangu biashara nyingi nimelenga mkata
 
Watu tumeishi Tabora na tumepata pesa nyingi na huo uchawi haukuwahi kutupata acha kukalili mkuu
Hakuna uchawi ni imani tu wachawi wanarogana wenyewe kwa wenyewe kama sio mchawi huwezi kumuona mchawi tafuta pesa mkuu usiogope
 
kama Unataka kwenda mkata sikufichi nakuunga mkono asilimia Mia pamechangamka mno na biashara zinaenda sana mkuu
 
Huko ndio nyumbani kwa masharifu.
 
Handeni washirikina sana kule ushirikina ni ibada km ibada nyingine.
 
Tanga, Tabora, Katavi, Rukwa, Kigoma, Mwanza, Geita, Shinyanga hii mikoa na ushirikina ni chanda na pete.
Tembea uone, wenzako Wanapiga hela kimya kimya. hiyo mikoa yote uliyo taja Watu wanavuna Mali asili kimya kimya,
Geita Kuna dhahabu, ardhi nzuri ya kilimo, soko kubwa la bidhaa kutokana na wingi wa Watu.

Tabora kuna asali, ardhi nzuri ya kilimo, soko kubwa la bidhaa kutokana na wingi wa Watu maeneo ya mjini, biashara ya mifugo nayo mwake kutokana na uwepo wa kuku,mbuzi, ng'ombe nk.
Kwa ufupi fursa zipo inategemea ww unatafuta nini.

MTU HUONA KILE ANACHO KITAZAMA.
 
Mwambie wewe mkuu fursa zote hizo yeye aone uchawi tu

Hata hivyo wamejawa kasumba na visa kale na wakaviamini kama miungu
 
Mwambie wewe mkuu fursa zote hizo yeye aone uchawi tu

Hata hivyo wamejawa kasumba na visa kale na wakaviamini kama miungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…