MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
hata nami nashangaa na UKIv german na russia hawana kampuni za computer?
Hp mbona ipo mkuuVipi kampuni kama hp? Naona haipo hapo kwenye list yako japo bidhaa zake zipo nyingi pia
Samsung ipo no. 11sumsung mbona haipo apo?
Riussia wamejikita kwenye silaha
Hivi ni kweli watu humu ndani hawaoni au [emoji144] .....??Samsung ipo no. 11
Inawezekana mleta Mada mara ya kwanza alipoanzisha Uzi wake hakuziorodhesha,Hivi ni kweli watu humu ndani hawaoni au [emoji144] .....??
Wanayo. Nimeiona moja ndogo mwaka janaNasubiri tecno waanze kutengeneza computer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]