Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mkuu nasubiri HUAWEI, maana bei rahisi bt high quality...Nasubiri tecno waanze kutengeneza computer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni kweli nduguInawezekana mleta Mada mara ya kwanza alipoanzisha Uzi wake hakuziorodhesha,
Baadae baada ya Watu kutaja ndio akaamua kuziweka Orodhani
???Compaq ni kampuni ya ujeruman, lenovo ni Taiwan sahihisha mkuu.
HP hujaiona kwenye list mkuu?Vipi kampuni kama hp? Naona haipo hapo kwenye list yako japo bidhaa zake zipo nyingi pia
Ya 11sumsung mbona haipo apo?
H.P ipo hapo hujaangalia namba 5?Vipi kampuni kama hp? Naona haipo hapo kwenye list yako japo bidhaa zake zipo nyingi pia
Ni ya kenya au ya TanzaniaAfrica tunayo Apps ya kujivunia ingawa inapigwa vita ulaya nayo ni ''Mpesa'' EU wamezuia kabisa hii Apps kutumika ulaya kwani kampuni kama Mastercard zitakufa kifo cha mende.
Hibi HP ni tofauti na hp?Vipi kampuni kama hp? Naona haipo hapo kwenye list yako japo bidhaa zake zipo nyingi pia
1. Dell-Marekani
2. Compaq-Marekani
3. Apple-Marekani
4. IBM-Marekani
5. HP-Marekani
6. Acer-Taiwan
7. Asus-Taiwan
8. Toshiba-Japan
9. Lenovo-China
10. Packard Bell-Netherlands
11. Samsung-Korea Kusini
Changamoto:
A. Afrika hatuna kampuni inayofanya vizuri ktk sekta hizo.
B. India ipo juu sana ktk teknolojia ya komputa lakini kampuni zake hazijulikani sana wakati bidhaa zao zimejaa Bongo, kulikoni?
N.B: Masahihisho na nyongeza yanakaribishwa!
UK haihitaji viwanda kuitawala dunia kiuchumi.hata nami nashangaa na UK
Acer/Gateway/eMachines ndo hao hao wamoja mkuuu...Gateway sijaiona kwa list yako mkuu
We produce what we don't consume and consume what we don't produce.1. Dell-Marekani