Zijue kampuni kubwa za magari duniani na nchi zinazozimiliki

Hapo kwenye volvo umekosea kidogo ndugu nayo pia inatoka sweden
 


Mkuu Volvo/Scania ni Sweden.

Namba 4 Rekebisha
 

Hapo kwenye Namba nne sidhani ni sahihi kuwa Volvo si gari ya Italy, nadhani inatoka katika moja ya nchi za Scandinavia
 
MAN SE - German
Iveco - Italy
DAF Trucks NV (DAF) - Holland
Hiyo DAF sio Reyland?, ambayo ni ya Mwingereza? Au Holland nao wako under lisence kama India na Ashok Reyland?
 
Yote haya China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…