IT PROFESSIONAL
JF-Expert Member
- Mar 17, 2016
- 228
- 95
Mgegedo - Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf raha sana9.NYUMBU - Tanzania
hyundai south koreaVipi ASHOK REYLAND.. ? za wapi hizi? Naziona sana jeshini...
Hyundai je?
kwa putin hamna?Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo?
1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN
2. MERCEDEZ BENZ, MAN, VOLKSWAGEN na BMW- GERMANY
3. JEEP na HAMMER- USA
4. FIAT, IVECO-ITALY
5. SCANIA, VOLVO-SWEDEN
6. RANGE/LAND ROVER-U.K
7. TATA-INDIA
8. FAW na HYUTONG-CHINA
ONGEZENI NA WENGINE!
nami nashangaa kwanini taifa kubwa kama Russia likakosa kampuni kubwa ya magarikwa putin hamna?
kwangu hii mpya kabisa. sijawahi ckia hii. asanteSeat.....Spain......
9.NYUMBU - Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Post title inasema kampuni kubwa. Nyumbu ina ukubwa gani jamani? mimi sijawahi kuona gari la nyumbu mtaani wakati nasikia ni ya Tanzania hapa hapa. Hata kama ni uzalendo basi tuwe realistic.
helkopta Tanzania
ya italyLambogine ni ya wapi (nimepatia jina kweli)
KAMAZ UrusiSuzuki ni Japan. Maruti Suzuki ni India ila ni undelicense kutoka Japan