Zijue kampuni kubwa za magari duniani na nchi zinazozimiliki

Zijue kampuni kubwa za magari duniani na nchi zinazozimiliki

Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo?
1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN
2. MERCEDEZ BENZ, MAN, VOLKSWAGEN na BMW- GERMANY
3. JEEP na HAMMER- USA
4. FIAT, IVECO-ITALY
5. SCANIA, VOLVO-SWEDEN
6. RANGE/LAND ROVER-U.K
7. TATA-INDIA
8. FAW na HYUTONG-CHINA
ONGEZENI NA WENGINE!
kwa putin hamna?
 
Post title inasema kampuni kubwa. Nyumbu ina ukubwa gani jamani? mimi sijawahi kuona gari la nyumbu mtaani wakati nasikia ni ya Tanzania hapa hapa. Hata kama ni uzalendo basi tuwe realistic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vauxhall- UK
Maseratti- Italy
Niva- Russia
Buick- USA under GMC
Opel - Germany...
Porsche - Germany under VW group
 
Tukitoka hapo,tuhamie kweny vituo vya mafuta
 
Nipo kwenye daladala nimepata seat nasoma huu uzi but kuna jamaa kasimama akawa anasoma kiaina, gafla ananiambia...

"Bro hapo jamaa kasahau kuweka Alteza...!!"

Nikamuangalia nika[emoji41][emoji23] !!
 
sisi tanzania kazi yetu kubwa ni kuunda leseni na stika pia tu mafundi sana wa kupaka rangi
 
Back
Top Bottom