N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Feb 1, 2020 #21 Hahaha rasilimali ya masikini ni ugali tu, hivyo vingine muwaachie wanaojielewa. Nyie gold mnavaa shingoni wenzenu wanatumia kutengeneza bidhaa kama simu. Tunayo Almasi nani anajua matumizi yake?!
Hahaha rasilimali ya masikini ni ugali tu, hivyo vingine muwaachie wanaojielewa. Nyie gold mnavaa shingoni wenzenu wanatumia kutengeneza bidhaa kama simu. Tunayo Almasi nani anajua matumizi yake?!