Zijue mbinu za wanawake wanazotumia kuchepuka bila kukamatwa

mkuu ni kweli kunguru hafugwi i mean huwez kumchunga mke kama ni kupigwa atapigiliwa tuu hata ufanyeje. nishajiweka kwenye hayo mazingira. chamsingi nisijue maana ntavunja ndoa sa hiyo hiyo. sinaga utani pengine hata nimfanye marehemu. wanawake ni washenzi sana yani. ndo maana hata nnikionaga mwanamke anapigwa mahali siingilii hata avunjwe jino.
 
Tamaa ya wanawake ndio chanzo cha yote hayo,hata uwape nini ni rahisi kuchepuka baada ya kudanganywa.Hii haiangalii kiwango cha elimu cha mwanamke ,wote ni sawa.
 
Mimi natofautiana na wewe kwa sababu hayo yote ulipaswa kuyajua kabla ujamuoa huyo mwanamke. Kwa mfano ulimuoa mwanamke tayari akiwa ameajiriwa, yaani ulimkuta single akiwa kwenye ofisi yenye wanaume ndani yake akifanya nao kazi, je hakuwa akiwasiliana nao hadi pale ulipomuoa? Wasiwasi wako ni nini ikiwa kuna wanaume waliofahamiana hata kabla ya wewe kumfahamu? Mimi nafikiri yote uliyosema yanamhusu mwanaume aliyeoa bila kufahamu historia ya mwanamke wake.
 
Mkuu Simplicity, Bravura. Thank you so much for taking your indispensable time for the benefit of others, exclusively JF members. Kitu kimoja ni wazi: Hakuna asiyewahi kuchepuka au kuchapiwa, it is historical sawa na kusema hakuna jipya chini ya jua. Elimu uliyotupa si haba. In my readings, researchers tell us that mchepuko 70% for women and 30% men. This helps to proof. Imbombo jilipo.
 
Mithali 5:1-11. Mwanangu, sikiliza hekima yangu; Tega sikio lako, mzisikie akili zangu; Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili.

Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari. Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu.

Itenge njia yako mbali naye, Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake. Usije ukawapa wengine heshima yako, Na wakorofi miaka yako; Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni; Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;
 
Wanawake ni wataalam wa hali ya juu katika kuchepuka, kuliko hata wanaume. Kwa wanaume wanakosa umakini anapochepuka ndo maana wanaonekana kwa haraka zaidi ktk anga za michepuko kuliko wanawake. Kuna siku nimekaa baa mahali nyuma yake kuna gest. Wakaja wanawake wawili mmoja ni jirani yangu. Wakakaa mbali kidogo na mimi, baadae kidogo mmoja wao akaingia gest akakaa mlee km saa nzima afu ndo akatoka km anatoka chooni vile. Wakakaa kidogo afu wakaondoka zao. Maana walikuja wawili km boshen hata km angekuwa mkeo ukakutanae mlangoni mwa baa usingeshtuka coz yuko na mama mwenzake. Siku nyingine nikakutana na huyo mama aliechepuka nikamtania kiaina kuwa kwa nini asipe mimi wakati najua siri zake? Akacheka kwa nguvu, afu akanisihi nisitoe siri km nilimwona siku hiyo coz alienda kuonana nae ni baba mtoto wake yule mkubwa wa kwanza. Hivo aliitwa ili ampe pesa kidogo ya mtoto.........
 

Kuna vitu mkuu, vinazuilika, mfano mkeo ana mawasiliano na ya wanaume yasiyo na tija, na wewe unachekelea tu? Haya mambo ni connected, ni kama safari moja kuanzisha nyingine.
 

Ndoa ina mipaka, kama unajua maana ya neno sacrifice ndio ndoa inavyokuwa, maana yake nini? Inabidi ujinyime na kuachana na mazingira na mazoea mengine uliyokuwa nayo kabla ya ndoa! Toa wazo la kumsoma mwanamke kabla ya kumuoa, haiwezekani kumfahamu kiundani, utajua kijuujuu tu, na wanawake karibu wote wanajitahidi sana kipindi cha uchumba kuficha tabia zao. Pia kuna mambo mwanamke anafanya kwa sio kwa nia mbaya, lakini yeye hajui yanampeleka pabaya. Mfano mwanamke ana makundi na wewe unajua, makundi hayo sio rafiki, kwa akili ya mwanamke yeye anaweza kuona ni sawa, lakini tumia akili kama mwanaume kuzuia kwa sababu, pindi makundi yatakapompeleka pabaya, ndipo utagutuka - stuka mapema. Hakuna mwanamke mwenye akili kiasi cha kushindana na haya mazingira, njia pekee ni kuhakikisha anajiondoa kwenye mazingira hatarishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…