Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 586
Hongera kwa kutufumbua macho ,Mungu akupe maisha marefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni kweli kunguru hafugwi i mean huwez kumchunga mke kama ni kupigwa atapigiliwa tuu hata ufanyeje. nishajiweka kwenye hayo mazingira. chamsingi nisijue maana ntavunja ndoa sa hiyo hiyo. sinaga utani pengine hata nimfanye marehemu. wanawake ni washenzi sana yani. ndo maana hata nnikionaga mwanamke anapigwa mahali siingilii hata avunjwe jino.Sio yote uliyoandika yanamaanisha mtu anachepuka waombe radhi waliojiunga vicoba endelevu. Waombe radhi wenye safari za kikazi na seminar na ma workshop ya nguvu. Kama wewe house husband unalo hiloo...wachepukaji wazuri na wenye utaalam wa kutosha huwa wanafuta sms mara tu baada ya kuisoma. Haweki sms makumbusho. Anatumia mda vzr sio lzma akae na mchepuko cku nzima. Km yupo kwa job ataomba ruhusa au atatumia lunch time. Wewe mme mnoko ukisafiri imekula kwako...na mkikutana na mchepuko wake ni km strangers salam tu then no story tena ww mme ndo labda unajuana vzr na huyo jamaa mnatia story mkeo hatii neno kwa kujifanya hajamzoea kumbe anajua alama zote mwilini mwake teh
Haya mazembe ndio yanachapiwaga.....mtu anakupa maarifa for free ww unazenguaNdefu kama notes za History ll.
Mkuu Simplicity, Bravura. Thank you so much for taking your indispensable time for the benefit of others, exclusively JF members. Kitu kimoja ni wazi: Hakuna asiyewahi kuchepuka au kuchapiwa, it is historical sawa na kusema hakuna jipya chini ya jua. Elimu uliyotupa si haba. In my readings, researchers tell us that mchepuko 70% for women and 30% men. This helps to proof. Imbombo jilipo.Damnt...hiyo #6 kuna siku niliitendea haki..Bajaj driver niliekuwa namtumia tumia kwa safari za hapa na pale kuna siku alijifanya yeye mwema sana eti anampa mwanangu wa miezi9 hela ya soda,tatizo haikuwa kumpa ila kiasi alichompa ndio kina ukakasi,unampa mtoto wa miezi9 Tsh 10,000/= kwa ajili ya soda ye soda hizo atazinywea wapi kama sio kutafuta kuzoeana na mke wangu chukua kikaratsi chako potea huku nimenyanyua kipande cha tofali..na alimpa huku anamsifia sifia wife kwa uzao wake huo huku anacheka cheka,nilimpa maneno magumu hakukaa kukatiza tena mtaa nnaoishi.hawa watu huwa wanajifanya kuwapa watoto vijisent vya soda sijui pipi ili kutafuta chance ya kuzoeana na mama zao ili iwe rahisi kumwaga verses zao ovu.
Kuchepuka ni automatic action, siku utakayochepuka wala hutajua kama umechepuka wewe!Mmmhh! Hivi bado kuna watu wanachepuka ?!! Mmh! Stress za nini?!!
Mkuu uliyo yaongelea yana uwezekano mkubwa kusababisha mke achepuke. Lkn swali ni je, yanepukika (yanastukika)? Maana umetaja nyanja zote za mizunguko na harakati za maisha ya mwanamke wa enzi hizi na kuzihusisha na michepuko.
Ili kumnusuru mke na hayo uliyo yaeleza kwenye uzi wako lazima "mke awe kwenye kifungo cha nyumbani"...(home detention).
heshima kwako Simplicity .
#6 nimeifanya sana kipindi hiko lakini mambo yalipoanza kwenda kombo nilipotea kama mtaa mzima nadaiwa
Mimi natofautiana na wewe kwa sababu hayo yote ulipaswa kuyajua kabla ujamuoa huyo mwanamke. Kwa mfano ulimuoa mwanamke tayari akiwa ameajiriwa, yaani ulimkuta single akiwa kwenye ofisi yenye wanaume ndani yake akifanya nao kazi, je hakuwa akiwasiliana nao hadi pale ulipomuoa? Wasiwasi wako ni nini ikiwa kuna wanaume waliofahamiana hata kabla ya wewe kumfahamu? Mimi nafikiri yote uliyosema yanamhusu mwanaume aliyeoa bila kufahamu historia ya mwanamke wake.