Hawaoshi au hawasafishi? Labda hawasafishi ila kuosha watakuwa wanaosha.
Pananifaa sana, na itabidi tuwapeleke wanaume wengine course za kuheshimu sehemu ile.Huko kunakufaa sana..
Mpwa tofauti yake ni nini?:A S-coffee::A S-coffee:
mila ya kigeni wewe hupendi?
utaniwekea hiyo ya scent au usafishe niende chumvini
which is which?
nikielezea tofauti thread itapelekwa jukwaa la wakubwa wakati mi kule naogopa mapicha picha.
khaaa...haya Come This Way PM .....haraka sana
nitumie email: kaizer@jamiiforums.com
kesho nitakutumia.
haya ulale sasa manake usiku huu tayari:juggle:
nipo kitandani tayari. Lol.
hiyo ya chumvini ni mila za kigeni bwana; ila tuache utani hamvitiwi na scent ya kule?