Zijue Mila za wanawake wa ki Congo za kuvutia wanaume

Zijue Mila za wanawake wa ki Congo za kuvutia wanaume

Huko kunakufaa sana..
Pananifaa sana, na itabidi tuwapeleke wanaume wengine course za kuheshimu sehemu ile.

Yani mta anasema sehemu aliotoka yeye mwenye inanuka, si anakuwa hana akili.

BTW sijazaliwa congo na wala sijafika, lakini wenye akili watajua tu :biggrin:
 
  1. Congo is estimated to have 70M, out of which aprox 35M ni wanawake. sample yako ilihusisha watu wangapi? (ulio shuduhia au walio kwambia wameshuhudia binafsi)
  2. Informants wako wengine walikua na qualification gani kwa kutoa hizo habari? (husbands, gynecologists, etc)
  3. Hata kama ni habari za mtaani weka fact kidogo kama makabila gani, upande wa east or west etc.
 
mila ya kigeni wewe hupendi?
utaniwekea hiyo ya scent au usafishe niende chumvini
which is which?

U r something else!
Mimi nimejaribu kuuvaa uhusika wa mwanaume apendaye kunusa/pata harufu hiyo; by the way haiwezi kuwa clean labda uoshe na detto which is not advised kiafya. So kama unatumia mild soap kuna 'kasweet' scent kanabaki!
 
hiyo ya chumvini ni mila za kigeni bwana; ila tuache utani hamvitiwi na scent ya kule?

Mkuu haya mambo ya ngono yana historia ndefu sana toka siku ile Hawa (EVE) alipoumbwa! Hivyo hamna ambacho ni kipya. Hebu cheki stori ya "Karmasutra" ya Asia, je unajua stori ya ngono ya machifu wa kiafrika?? Kabila lako je, unajua stori yake??
Sio kila kitu wazungu ni bora!

Back to topic...
Hii kitu nimewahi kusimuliwa na jamaa yangu anaendesha haya ma-truck ya mizigo na anaenda sana Drc na Zambia, ye amekutana na hao wanawake! Kuna ukweli kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom