Zijue namba za Magari na maana zake

Bila picha ni upupu tu
 
IGP - Inspector General of Police (Inspekta Jenerali wa Polisi)
CGP - Commissioner General of Prisons (Kamishna Jenerali wa Magereza)
CGI - Commissioner General of Immigration (Kamishna Jenerali wa Uhamiaji)
CGF - Commissioner General of Fire (Kamishna Jenerali wa Zimamoto)
 
Msaada tafadhali, Jana kuna gari ilinipita ilikuwa Land cruiser V8 nadhani, ile imeandikwa mbele TOYOTA kama ile alipewa Mabeyo ni mpya kabisa. Kilicho nishangaza ina usajili wa herufi A badala ya E kwa sasa hivi. Hiyo ina maana ipi?
 
Wanasemaga eti ukiona hivyo ujue wengi wao ni wazee wa kaunda suti ila kwa mimi sina uhakika na hilo
 
ST ni Serikali Tanzania hizo K, L, M,N ni kama vile namba A,B, C sasa hivi tuko E

SU ni Shirika la Umma
SM ni Serikali za Mitaa

DFPA na DFP nadhani hizo ni gari za ufadhili,

I stand to be corrected
Kama hizo DFP na DFPA ni kwa hisani ya wale watu! Bac tunapigwa kwelkwel hakuna cha bureπŸ˜–
 
ST ni Serikali Tanzania hizo K, L, M,N ni kama vile namba A,B, C sasa hivi tuko E

SU ni Shirika la Umma
SM ni Serikali za Mitaa

DFPA na DFP nadhani hizo ni gari za ufadhili,

I stand to be corrected
𝑫𝒐𝒏𝒂𝒕𝒆𝒅 𝒇𝒖𝒏𝒅 𝒑𝒓𝒐𝒋𝒆𝒄𝒕. 𝑨 π’π’Š π’π’‚π’Žπ’ƒπ’‚ π’Œπ’‚π’Žπ’‚ 𝒔𝒂𝒔𝒂 π’˜π’‚π’Œπ’ 𝑩
 
Kwenye magari mengi ya serikali utakutana na;
STK
STN
SU
STL
STM
DFP
DFPA
SM

Naombeni long terms zake.
STK= Serikali ya Tanzania>gari toleo K
STN=Serikali ya Tanzania >gari toleo N(this is the current number plate)
SU=Shirika la umma mfano Tanesco, Dawasco, NHC, TTCL, Posta, NIC, MSD n.k
STL=Serikali ya Tanzania >gari toleo L
STM=Serikali ya Tanzania>gari toleo M
DFP=Donor Funded project, hzi ni gari znatolewa nawafadhili wa miradi mbalimbali
DFPA=Donor Funded Project >gari toleo A
SM=Serikali za Mitaa
 
Asante kwa ufafanuzi
 
DFPA...DONATED FUND PROJECT AGENCY
 
Kwa huu ufafanuzi mpaka ambao hawana DD Mbili wanaelewa 😊
 
Donor Funded project sio donated fund project
 
DFP = Donor Funded Project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…