Zijue namba za Magari na maana zake

Safi👏👏👏👏
 
Asee nimeelewa vizuri.
STN naona ndio ma 300 serious mengi yana hizo namba sababu mapya nadhani. STK nyingi zilikuwa na zimo kwenye kilimo kwanza.
 
ST-Serikali ya Tanzania

Zilikuwepo STH, STJ, STK, STM na sasa ni STN haya ni matoleo tu upande wa serikali

Kama ilivyo kwa magari binafsi kuna namba A mpaka sasa ya karibuni ni E na serikalini ya karibuni ni STN
 
ST-Serikali ya Tanzania

Zikikuwepo STH, STJ, STK, STM na sasa ni STN haya ni matoleo tu upande wa serikali

Kama ilivyo kwa magari binafsi kuna namba A mpaka sasa ya karibuni ni E na serikalini ya karibuni ni STN
Shukhran kiongoz✅
 
Sawa lakini huu muda wa kujua no za magari unaupata wapi
Hii nchi Ina jobless wengi.
 
Babu kumbe upo..

Umepotea sana humu, wajukuu tutapotezwa na Gen Z kwa kukosa nasaha zako kwa muda mrefu[emoji2][emoji2]
Niko bhana.... Mashangazi yalinificha kwa muda. Nimefanikiwa kutoroka
 
Niko bhana.... Mashangazi yalinificha kwa muda. Nimefanikiwa kutoroka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajilia vinono sana, ebu achia na wajukuu bana wapate raha ya Ulimwengu
 
Msaada tafadhali, Jana kuna gari ilinipita ilikuwa Land cruiser V8 nadhani, ile imeandikwa mbele TOYOTA kama ile alipewa Mabeyo ni mpya kabisa. Kilicho nishangaza ina usajili wa herufi A badala ya E kwa sasa hivi. Hiyo ina maana ipi?
Usalalama wa taifa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…