Pia kuna RC ya mkuu wa mkoa,DC mkuu wa wilaya,RPC ya kamanda wa polisi mkoa,kuna JK=Jaji kiongozi n.k
Usalama wanatumia namba za kiraia na wakati mwingine DFP !! Kwa ujumla wao hutumia namba karibu zote kulingana na mazingira.Hujaeka za usalama
Si masanja tu,hadi gwajima ana plate namba zake.Hata MASANJA ana plate namba yake