Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

mkuu ahsante umenisaidia sana mi ni mufuatiliaji wa plate number gar za serikal zimenichanganya tangu 2010.ila sijajua hizi STJ, STK nitoe matongotongo
 
mkuu ahsante umenisaidia sana mi ni mufuatiliaji wa plate number gar za serikal zimenichanganya tangu 2010.ila sijajua hizi STJ, STK nitoe matongotongo
ST-Serikali ya Tanzania. hizo J na K ni series zinazowekwa baada ya namba kujaa.
 
ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....Karibuni
Hizo zenye plate number nyeupe siyo tu ya biashara (maana hata fuso yaweza kuwa ya biashara) bali ni biashara na abiria mfano tax, bus n.k.
 
Namba za Mawaziri zinachanganya sana. Tafadhali mtoa hoja ingekuwa vema ukatuwekea vile vifupisho vya Namaba za Magari ya Mawaziri na Manaibu wao. Vile vifupisho vyake ni taabu sana kuving'amua kwa harakaharaka.
Dah!kuna moja nlikutana nayo nlichoka sijui ipo NW MSANWMNN yani hata sikuipata vzr coz ilinivuruga!!
 
Usalama wanatumia namba za kiraia na wakati mwingine DFP !! Kwa ujumla wao hutumia namba karibu zote kulingana na mazingira.
Usalama wa taifa hawawezi kutumia JW watatumia hizo nyingine tu!
 
Back
Top Bottom