Sauli
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 416
- 574
vp kuhusu ST 000 ANi kweli A ni series baada ya namba kujaa baadae A zikijaa itakuja B means DFPB hivyohivyo
hizo 0 ni number nayo yaKo chini ya kitengo gani, huonekana ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vp kuhusu ST 000 ANi kweli A ni series baada ya namba kujaa baadae A zikijaa itakuja B means DFPB hivyohivyo
Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
T254CD.......Uingereza
Wengine wanaweza endelea hapo..
Kumbe hiyo A ni Africa?? Nilidhani ni muendelezo tu then wakaendelea B, C etc etc...DFP-A ni Donor Fund Project Africa
sio Africa. ni muendelezo wa herufi namba zikishajaa kwa kutimiza idadi iliyopangwaKumbe hiyo A ni Africa?? Nilidhani ni muendelezo tu then wakaendelea B, C etc etc...
Bas unajiona Mwerevu na wewe [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Nyigine hii
FSC: Fisadi Lowasa yuko Chadema
Maana yake DFP zimejaaDFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
ST-Serikali ya Tanzania. hizo J na K ni series zinazowekwa baada ya namba kujaa.mkuu ahsante umenisaidia sana mi ni mufuatiliaji wa plate number gar za serikal zimenichanganya tangu 2010.ila sijajua hizi STJ, STK nitoe matongotongo
Hizo zenye plate number nyeupe siyo tu ya biashara (maana hata fuso yaweza kuwa ya biashara) bali ni biashara na abiria mfano tax, bus n.k.ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....Karibuni
Dah!kuna moja nlikutana nayo nlichoka sijui ipo NW MSANWMNN yani hata sikuipata vzr coz ilinivuruga!!Namba za Mawaziri zinachanganya sana. Tafadhali mtoa hoja ingekuwa vema ukatuwekea vile vifupisho vya Namaba za Magari ya Mawaziri na Manaibu wao. Vile vifupisho vyake ni taabu sana kuving'amua kwa harakaharaka.
Usalama wa taifa hawawezi kutumia JW watatumia hizo nyingine tu!Usalama wanatumia namba za kiraia na wakati mwingine DFP !! Kwa ujumla wao hutumia namba karibu zote kulingana na mazingira.