Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
Hivi Donor anae-fund projects ni World Bank peke yake?
 
Mkuu kwa hiyo wanaruhusiwa kupaki hata pale central kwa IGP sirro au pande za magogoni?? Maana umesema wanaruhusiwa kusimama /kupaki mahala popote bila shida yoyote.
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...
 
DFP baada ya kufika 9999 namba hio imeongezwa A na kuwa DFPA ikaanza tena. Ikifika 9999 itakuwa DFPB na kuendelea
DFPA.. imeongezwa na kuwa hivi Donor Foundation Program Agency na syo. kwaajil ya namba mkuu
 
Vilevile DFP sio lazima itolewe na World Bank au USAID, nafikiri ni gari yeyote iliyotolewa na wahisani/wafadhili kwa ajili ya mradi flani.

Hao wafadhili sio lazima wawe USAID au World Bank
gari zote za DFPA hutolewa chini ya adjustment program sasa adjustment program ipo chin ya nani..? au ulikuwa hujui
 
gari zote za DFPA hutolewa chini ya adjustment program sasa adjustment program ipo chin ya nani..? au ulikuwa hujui

Mkubwa, nimeandika DFP kama alivyouliza mleta hoja. Angalia nilichokiandika, nimeweka DFP kwa makusudi. Sijaongelea hizo DFPA japi nashukuru kwa taarifa.

Tumeshawahi kuwanunulia serikali magari mengine yalienda bungeni na mengine kwenye mahospitali, gari zote zilisajiliwa kwa DFP, japo hazikutoka World Bank wala USAID.
 
Mkuu kwa hiyo wanaruhusiwa kupaki hata pale central kwa IGP sirro au pande za magogoni?? Maana umesema wanaruhusiwa kusimama /kupaki mahala popote bila shida yoyote.

Nafikiri anamaanisha linapewa kipaumbele kama gari la serikali. Haimaanishi wapaki popote bila kuzingatia sheria.

Na hawatozwi gharama za maegesho na jiji.
 
STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
Hakuna STI
 
1.SM = serikali za mitaa

2.J=Jaji

3.RC=Regional commissioner (mkuu wa Mkoa)

4.DC=district commissioner
(mkuu wa wilaya)

5.MT= millitary transport
 
Back
Top Bottom