Hivi Donor anae-fund projects ni World Bank peke yake?ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
Kuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Unakuta nyingine ni STK, au STJ halafu ina bendera ya Taifa anakuwa nani huyo
Hii ndiyo sahihi mkuuKuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Hii ndiyo sahihi mkuuKuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
cd-code/country diplomatic zinatumiwa na ubalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini,na kwa sheria za kimataifa wanaruhusiwa kupaki gari zao popote bila kulipishwa ushuru au kodi yeyote mkuu,hilo nalo wengi hawalielewi,ni sheria za kimataifa...
DFPA.. imeongezwa na kuwa hivi Donor Foundation Program Agency na syo. kwaajil ya namba mkuuDFP baada ya kufika 9999 namba hio imeongezwa A na kuwa DFPA ikaanza tena. Ikifika 9999 itakuwa DFPB na kuendelea
gari zote za DFPA hutolewa chini ya adjustment program sasa adjustment program ipo chin ya nani..? au ulikuwa hujuiVilevile DFP sio lazima itolewe na World Bank au USAID, nafikiri ni gari yeyote iliyotolewa na wahisani/wafadhili kwa ajili ya mradi flani.
Hao wafadhili sio lazima wawe USAID au World Bank
kwa DFP magari huja pamoja na vitanda vya hospital,net,ARV under USAIDHivi Donor anae-fund projects ni World Bank peke yake?
gari zote za DFPA hutolewa chini ya adjustment program sasa adjustment program ipo chin ya nani..? au ulikuwa hujui
Mkuu kwa hiyo wanaruhusiwa kupaki hata pale central kwa IGP sirro au pande za magogoni?? Maana umesema wanaruhusiwa kusimama /kupaki mahala popote bila shida yoyote.
Kuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Kwa huo uandishi lazima utaumia sanaDah xinaniumizaga sana kichwa izo
Hakuna STISTK, ST
STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo