Yupo sahihi, huyu wa humu ndo kakoseaKuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
sawaKaomba kirefu cha herufi za kwenye vibao vya namba
Mkuu wa mkoa na wilayaUnakuta nyingine ni STK, au STJ halafu ina bendera ya Taifa anakuwa nani huyo
DFP = Donor Fund ProjectSU shirika la umma
JW jeshi la wananchi
SM serikali za mitaa
DFP development fund program
Nyingine wataongezea
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. JK- Jaji Kiongozi
6. J- Jaji wa mahakama kuu
7. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
8. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
9. CS- Katibu mkuu kiongozi
10. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
11. NW-Naibu waziri
12. DFP-Donor's Fund project
13. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
14. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
15. PT-Police of Tanzania
16. SM-Serikali za mitaa
17. CD- Magari ya ubalozini
18. SU-Shirika la umma.
19. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
20. MT-Magereza Tanzania
21. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
22. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.
Ndio sahihiKuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Wakuu wa wilayaUnakuta nyingine ni STK, au STJ halafu ina bendera ya Taifa anakuwa nani huyo
MT magereza TanzaniaAsante mtaalamu umetusomesha wengi, je zile zenye plates za kijani zinaanza na MT, CD na zingine zina plates za blue zinaanza na CD
STI waliskip haikuwepo wakaenda STJSTK, ST
STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
ST kama sikoseiHujaeka za usalama
DFP ni Donor Funded Project na si lazima iwe WBDFP.donor foundation problgram
haya hutorewa kwa msaada wa benk ya dunia chini ya adjustment program
DC..district camishner kma
ni kwa wakuu wa mikoa
RC.Region camishner
kwa wakuu waikoa
SU.shilika na uma
mfano.ttcl,tanesco
SM.ni kwaajil ya halmashaur.ya mji
MT.magereza tanzania
KJ.kikosi cha jesh
Labda wameona DFP zinakuwa nyingi, wameamua wazianzishie series ya herufi A to ZDFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
Ni hivyo mkuuLabda wameona DFP zinakuwa nyingi, wameamua wazianzishie series ya herufi A to Z
DFPA,ile A sio Agency.ni Donor.foundation programs saiv znaitwa DFPA donor.founfation program agency.huwa ni.magar ya msaada wa benk.ya dunia under USAID
Upo sahihi kabisa,kama huamini muulize mzee Chenge.Mkuu mbona nilisikia SU ni Soma Ule.