Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:

1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu

2. S-Spika wa bunge

3. JM- Jaji mkuu

4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa

5. JK- Jaji Kiongozi

6. J- Jaji wa mahakama kuu

7. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)

8. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

9. CS- Katibu mkuu kiongozi

10. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

11. NW-Naibu waziri

12. DFP-Donor's Fund project

13. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

14. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

15. PT-Police of Tanzania

16. SM-Serikali za mitaa

17. CD- Magari ya ubalozini

18. SU-Shirika la umma.

19. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW

20. MT-Magereza Tanzania

21. CGP-Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)

22. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....

Karibuni

Pia Kuna zile gari za ikulu zinakuwepo kwenye msafara wa raisi zina herufi E maana yake ni Escort
 
Hivi ndugu zangu naomba kueleweshwa maana ya kifupi cha maneno haya.
PLATE NAMBA
SU, KJ, JW, MT, DFP, SM, J 1, W ST, KP, STK, STJ, RC, DC, hayo machache tu tusaidiane kujua na kama kuna mengine ongezeeni ili tupate kujulishana. asante ni hayo tu.

SU=SHIRIKA LA UMMA
Sm=Serikali za Mitaa
DFP=Donor Fundes Project (nipo tayar kurekebishwa)
RC=Regional Commissioner
DC=District Commissioner
JW=Jeshi la wananchi
 
STK, ST

STK, STJ -serikali ya Tanzania hizo K na J ni series za magari. Zilikuepo STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG ila nyingi zimechoka coz ni za zamani hazionekani road. Siku hizi utaanza STH, STI, STJ, STK, STL ndo zipo
STI waliskip haikuwepo wakaenda STJ
 
DFP.donor foundation problgram

haya hutorewa kwa msaada wa benk ya dunia chini ya adjustment program

DC..district camishner kma
ni kwa wakuu wa mikoa

RC.Region camishner
kwa wakuu waikoa

SU.shilika na uma
mfano.ttcl,tanesco

SM.ni kwaajil ya halmashaur.ya mji

MT.magereza tanzania

KJ.kikosi cha jesh
DFP ni Donor Funded Project na si lazima iwe WB
 
ni Donor.foundation programs saiv znaitwa DFPA donor.founfation program agency.huwa ni.magar ya msaada wa benk.ya dunia under USAID
DFPA,ile A sio Agency.
Maana yake namba za DFP zimeisha wanaanza na A then baadae itakuja DFPB,DFPC na kuendelea
 
Back
Top Bottom