Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Katika kuongeza
J-Jaji
JR-Jaji Rufaa
JK-Jaji kiongozi
JM-Jaji Mkuu
 
Kuna magari Polisi wanatumia siku hizi yana namba binafsi.
Tena binafsi kweli maana wala haianzi na (T). Unakuta tu namba hata hazieleweki. Wengi ni hawa tigo wa kwenye land cruiser!
 
Namba 8 muongo, yakipita magari yao angalia tena rangi ya kibao na aandishi yake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hivi CDF gari lake huwa limeandika CDF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…