Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namba za Rwanda hizo KakaKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Katika kuongezaCGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
Gari ya CDF inakuwa na Nyota 4 (****)ikiwa na maana ni Jenerali wa Nyota nneSorry hiyo inakuaga na nembo za cheo z
Cha kijeshi
Serikali ya Tanzania J,K Ni trend ya heruffi tu kulikuwa na STG,STH,STJ,STK,STL Baada ya muda itakua STM ,Asante kwa ufafanuzi, niulize kidogo; nini kirefu cha STK, STL...
ahaaSerikali ya Tanzania J,K Ni trend ya heruffi tu kulikuwa na STG,STH,STJ,STK,STL Baada ya muda itakua STM ,
mwambie huyo prison wanatumia MT -(Magereza Tanzania)Acha uongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kibao cha rangi nyekundu na herufi RC
Kibao hiki kinabeba maana kuwa Bashite anatoka ofisi za Mawingu fm baada ya kuchukua flash
Railway Corporation.Kuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
Uhamiaji Tanzania- magari yanayomilikiwa na idara ya uhamiaji TanzaniaKuna nyeusi imeandikwa UT, rangi kama za vibao vya polisi, ni nani hawa?
Kwa baba jescaNiliona mercedes benz S 550 nyeusi ina namba "STATE CAR 7"
Ongeza utamu bas uliosaliaThread nzuri lakini haijitoshelezi.
Tena binafsi kweli maana wala haianzi na (T). Unakuta tu namba hata hazieleweki. Wengi ni hawa tigo wa kwenye land cruiser!Kuna magari Polisi wanatumia siku hizi yana namba binafsi.
Hivi CDF gari lake huwa limeandika CDF?CGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa Upinzani Bungeni
Mchango wangu ni huo mwenye swali la ufahamu anaweza uliza
MagerezaMhhhhh...! MT ni jeshi gani?