Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

asante sana ndugu driver wa magari serikalini
 
Na hii[emoji115] [emoji115] je?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kuna ZT=ZIMA MOTO
Kuna UT=SIJUI MAANA YAKE
 
DFP-A
Herufi A haimaanishi afrika herufi hiyo imewekwa baada ya tarakimu kuisha,zikisha tena wataweka DFP-B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…