Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Magereza wanatumia MT na polisi PTHata hivyo wote ni PT,police na prison. Futa ulichoquote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magereza wanatumia MT na polisi PTHata hivyo wote ni PT,police na prison. Futa ulichoquote.
MuongoSorry hiyo inakuaga na nembo za cheo z
Cha kijeshi
[emoji23]Na hii[emoji115] [emoji115] je?![]()
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
HahahahaKibao cha rangi nyekundu na herufi RC
Kibao hiki kinabeba maana kuwa Bashite anatoka ofisi za Mawingu fm baada ya kuchukua flash
Kibao cha rangi nyekundu na herufi RC
Kibao hiki kinabeba maana kuwa Bashite anatoka ofisi za Mawingu fm baada ya kuchukua flash
Kuna ZT=ZIMA MOTO1. Kibao chenye rangi ya njano na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kutumika kwa ajili ya shughuli binafsi. Kwa kiingereza inasemwa "private use". Magari yenye vibao hivi hayaruhusiwi kutumika kwa ajili ya biashara.
2. Kibao chenye rangi nyeupe na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kwa ajili ya matumizi ya biashara. Kwa kiingereza inasemwa "commercial use". Mfano mzuri daladala au basi za kubeba abiria na taxi.
3. Kibao chenye rangi ya njano na namba haianzi na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na taasisi ya umma au serikali. Hapa kuna makundi yafuatayo:
(a) SU - shirika la umma , mfano vyuo vikuu vya serikali
(b) SM - Serikali za Mitaa , mfano ni halmashauri
(c) STK,STL,STJ - serikali, mfano ni wizara
4. Kibao chenye rangi nyekundu na namba inayoanza na herufi DFP au DFPA
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limetolewa kwa ajili ya matumizi ya miradi inayofadhiliwa na wafadhili kutoka nje ya nchi.
5. Kibao chenye rangi ya bluu na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na moja ya shirika la umoja wa mataifa. Mfano shirika la Afya Duniani (WHO).
6. Kibao chenye rangi ya kijani na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na ofisi za ubalozi wa nchi fulani. Mfano ubalozi wa Ufaransa.
7. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya njano
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Polisi. Namba hizi huwa na herufi PT
8. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya njano
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Wananchi (JW). Namba hizi huwa na herufi JW.
9. Kibao chenye rangi ya kijani na namba zenye herufi MT
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Magereza.
![]()
IkuluMnisaidie na magari yenye namba hizi
ST 328 A
Hayo ni magari ya idara gani?
RAILWAYRangi Gani mkuu
UHAMIAJI TANZANIAKuna ZT=ZIMA MOTO
Kuna UT=SIJUI MAANA YAKE
Wewe ni "Mhuni" wa Chadulu au Kizota?huku dodoma W na NW naziona sana
Kuna herufi O&I walizitoa kwenye herufi kwa sababu zisiwachanganye wasomaji na namba 0 &1.kwanini herufi O haipo kwenye plate namba za magari?