Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

RAC na DFP are different naona hamjapata lunch nyie ….
RAC = Reli
DFP = Wadau wa Maendeleo
PT = Police
MT= Magereza
JR = Jaji wa Rufaa
J = Jaji Mahakama Kuu
CS = Katibu Mkuu Kiongozi
IGP =Mkuu wa Polisi nk
 
kama hujawahi kuona STB hapo ndipo hata umri wako unaweza kujulikana.....kwa taarifa yako nimeona ST then zikaja STA,STB,STC,STD,STE,STF,STG,STH,STJ,STK,STL,
 
RAC na DFP are different naona hamjapata lunch nyie ….
RAC = Reli
DFP = Wadau wa Maendeleo
PT = Police
MT= Magereza
JR = Jaji wa Rufaa
J = Jaji Mahakama Kuu
CS = Katibu Mkuu Kiongozi
IGP =Mkuu wa Polisi nk
Mkuu Reli tu iwe na gari zake kweli? Kirefu chake ni nini?
 
kama hujawahi kuona STB hapo ndipo hata umri wako unaweza kujulikana.....kwa taarifa yako nimeona ST then zikaja STA,STB,STC,STD,STE,STF,STG,STH,STJ,STK,STL,

[emoji23][emoji23][emoji23]unatukana watu hapa kijanja,wakati wengine tukiona STH tunashangaa.[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…