Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Habari zenu, naomba mwenye kujua kirefu na maana ya hizi plate number atulijulishe kwa faida ya wengine pia.

DFP
DFPA
STK
STJ
SU
PT
na mengineyo kama haya.
mengine ni

JWTZ
MT
SM
 
Habari zenu, naomba mwenye kujua kirefu na maana ya hizi plate number atulijulishe kwa faida ya wengine pia.

DFP
DFPA
STK
STJ
SU
PT
na mengineyo kama haya.


mkuuu hope umepata majibu ya hizo nyingine. labda nikueleze kuhusu hizo STJ, STK

ST.. Hizi ni namba za magari ya serikari ambayo yalianza na namba A, B, C, D....na sasa yamefikia L i mean

STA
STB
STC
STD
STG
STH
STJ
STK
STL

na zitaendelea kutoka
STM
STN
STP
STV
STT
STU
STW
STY
STZ
 
Dfp-donor funded project
Su-shirika la umma
Sm-serikali za mitaa
Stk,stj,stl zote ni serikali kuu
Smz ni serikali ya mapinduzi zenj
Jw ni jeshi la wananchi
Pt ni police Tanzania.
 

kwa kuongezea ST kirefu chake ni SERIKALI YA TANZANIA.
izo herufi za mbele ni kama ilivoelezwa hapo juu

Donor fund project =DFP
SERIKALI ZA MITAA=SM
Shirika la uma= SU

Pitia na hapa tushawai jadili

plate namba za magari

Na
Hapa
 

Sijawahi kuona zaidi ya stk, stj na stl
 
Sijawahi kuona zaidi ya stk, stj na stl
Utaziona wapi wakati bado hazijafikiwa? Kwa sasa kwanza ndio STL, zimeanza, ukifikilia hiyo STK imekaa muda gani, we unafikiria ni muda mfupi tu, wao wanajua ni idadi gani ikifika wanahamia STM.
 
Mi Jana nimekutana na Hili T 943 POBOX litakuwa la shirika la posta nini na huu utaratibu umeanza lini si yalikuwa SU
 
Habari zenu, naomba mwenye kujua kirefu na maana ya hizi plate number atulijulishe kwa faida ya wengine pia.

DFP
DFPA
STK
STJ
SU
PT
na mengineyo kama haya.
we ni mtanzania au mkimbizi mtanzania huji maana ya SU,STK,PT sasa utajua wats per capita income maswali mengine mnajaza server jamani kwa mtaji huu ccm itaendelea kutawala milele
 
Hii tabia ya majibu ya kipuuzi imezidi sana humu ndani leo nawataja wote wenye tabia hii na @mod naomba uchukue hatua kali za kinidhamu dhidi ya watu hawa samora10 Sunshow SIOMIMI Obama wa Bongo
tatizo humu jf kuna vilaza wengi, huwezi kujua kila kitu ila huwezi kuacha kujua vitu vidogo kama hivi, kweli akili za watz ziko chini sana labda mleta mada seme alikuwa amefungwa maisha tangu miaka ya 60 katoka jela jana hajui kinachoendelea tanzania ,au ni mkimbizi au ndio wale magaidi wa tanga vinginevyo akachuke file milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…