Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Kuna uzi humu utafute lakini kukusaidia
SU=Shirika la Umma a.k.a Soma ule.
STL=Serikali ya Tanzania mwendelezo wa STK
SM=Serikali za Mitaa.
MT=Magereza Tanzania.
 
Najaribu but sina uhakika:

SU ~ Shirika la umma
STK ~ Serikali ya Tanzania Kijijini
STL~ Serikali ya Tanzania L....
SM~ Serikali Manispaa/Halmshauri
MT~Magereza Tanzania

Mwisho wa huu utumbo ni october 25, 2015 UKAWA wanakuja na usajili unaoeleweka sio hizi blah blah!
 
SU-simlinipa ulaji?
STL-sitaki tanta lila
STK-semeni tu kwendenizenu
MT-mtaijua tanzania
SM-sipendi malumbano
STK-somakwanza tanzania kuiba2.
PT-piga tu
 
Siku nyingine usiite "plate number" inaitwa number plate /kibao cha namba au registration number (kama unataka kuzungumzia namba yenyewe). Kwa uelewa wangu

SU = Shirika la Umma
ST = Serikali ya Tanzania (inaweza kuwa G,J,K,L ili kuepuka kuwa na number/digit zaidi ya 4. Kwa hiyo kama G itajaa wanahamia J, Kama J itajaa wanahamia K.Kwa nini wanahama?kwa nini wanaruka herufi nyingine? tusubiri wataalam watatujuza
SM= Serikali za Mitaa (magari yote ya halmashauri yanatumia number hizi)
MT=Magereza Tanzania

note: majibu kulingana na elimu yangu ya shule ya msingi
 
Su: Samahani usiniguse
stk; sasa tukutane kigoma
sm: Si mshamba
stl: Simama twende na lowassa
mt; mtakatifu ng'wanapagi
 
Kweli huku kuna mbutika,mwenzetu anauliza lkn majibu yanayotolewa ni ya kijinga na kitoto.mbona hatukui?
 
Siku nyingine usiite "plate number" inaitwa number plate /kibao cha namba au registration number (kama unataka kuzungumzia namba yenyewe). Kwa uelewa wangu

SU = Shirika la Umma
ST = Serikali ya Tanzania (inaweza kuwa G,J,K,L ili kuepuka kuwa na number/digit zaidi ya 4. Kwa hiyo kama G itajaa wanahamia J, Kama J itajaa wanahamia K.Kwa nini wanahama?kwa nini wanaruka herufi nyingine? tusubiri wataalam watatujuza
SM= Serikali za Mitaa (magari yote ya halmashauri yanatumia number hizi)
MT=Magereza Tanzania

note: majibu kulingana na elimu yangu ya shule ya msingi
Bravo: mkuu japo sio mimi niliyeleta hii mada ila na mimi nilivutiwa sana kujua virefu vyake. Which means kwa wana JF wote waliochangia hii thread wewe ndio kichwa kuliko hao vilaza wengine wanaoleta mzaha kwenye mambo ya kuelimishana.
Asante bro!
 
DFP maana yake ni Donor Funded Projects....magari ya wahisani...na yana plates nyekundu
 
Back
Top Bottom