Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nisaidie kurefusha hizo plate number
Bravo: mkuu japo sio mimi niliyeleta hii mada ila na mimi nilivutiwa sana kujua virefu vyake. Which means kwa wana JF wote waliochangia hii thread wewe ndio kichwa kuliko hao vilaza wengine wanaoleta mzaha kwenye mambo ya kuelimishana.Siku nyingine usiite "plate number" inaitwa number plate /kibao cha namba au registration number (kama unataka kuzungumzia namba yenyewe). Kwa uelewa wangu
SU = Shirika la Umma
ST = Serikali ya Tanzania (inaweza kuwa G,J,K,L ili kuepuka kuwa na number/digit zaidi ya 4. Kwa hiyo kama G itajaa wanahamia J, Kama J itajaa wanahamia K.Kwa nini wanahama?kwa nini wanaruka herufi nyingine? tusubiri wataalam watatujuza
SM= Serikali za Mitaa (magari yote ya halmashauri yanatumia number hizi)
MT=Magereza Tanzania
note: majibu kulingana na elimu yangu ya shule ya msingi
Mkuu tujuze na hizi za DFP?