Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Nahaya Magari Yenye Plate Namba Ya 'DFP' nishirika gani?
 
Kuna uzi humu utafute lakini kukusaidia
SU=Shirika la Umma a.k.a Soma ule.
STL=Serikali ya Tanzania mwendelezo wa STK
SM=Serikali za Mitaa.
MT=Magereza Tanzania.

SLS - Shirika la serikali(Zanzibar)
PT - Polisi Tanzania
JW - Jeshi la wananchi
RAB - Shirika la reli
 
Kuna gari Nimeiona, plate number imeanza na TSAL
 

Ongeza na hii CS- chief secretary
 

ST... A ni namba ya Serikali ya Tanzania mahsusi kwa State House.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…