SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,073
Sio KWELI..ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio KWELI..ni donor.foundation program huwa yanatorewa na world bank under structure adjustment program skuiz yanaandika DFPA Yaan donor foundation program agency
Mwambie HUYODFP baada ya kufika 9999 namba hio imeongezwa A na kuwa DFPA ikaanza tena. Ikifika 9999 itakuwa DFPB na kuendelea
Mmh kwa DC mbona kama pagumuSU=SHIRIKA LA UMMA
Sm=Serikali za Mitaa
DFP=Donor Fund Project (nipo tayar kurekebishwa)
RC=Regional Commissioner
DC=District Commissioner
JW=Jeshi la wananchi
Kweli ni STL wao,futar bhanaMmh kwa DC mbona kama pagumu
Hahaha iftari ya msimu huu ni kiboko.Kweli ni STL wao,futar bhana
DFP-Donor Funded Project na sio development fund program!SU shirika la umma
JW jeshi la wananchi
SM serikali za mitaa
DFP development fund program
Nyingine wataongezea
Ni kweli uko sahihi ndugu..A haina maana ni Africanadhani hiyo A ni series inayofuata baada ya namba kujaa. huyo anayesema A inasimama badala ya Africa sina hakika itakuwa elimu mpya. asante
Rangi Gani mkuuKuna namba niliona imeandikwa RAC 312, hiyo RAC kirefu chake nini?
[emoji1] [emoji1]Kibao cha rangi nyekundu na herufi RC
Kibao hiki kinabeba maana kuwa Bashite anatoka ofisi za Mawingu fm baada ya kuchukua flash