Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
An excellent question, MIXOLOGISTSo what?
AiseeBrazil katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na Kila wanawake 10 watano ni wasagaji
Philippines katika Kila wanaume 10 wanne ni mashogaji na Kila wanawake 10 watatu ni wasagaji
South Africa katika kila wanaume 10 wawili ni mashoga na katika kila wanawake 10 wawili ni wasagaji
Marekani katika Kila wanaume 10 watatu ni mashoga na katika kila wanawake 10 wanne ni wasagaji
Nigeria katka Kila wanaume 10 mmoja ni shoga na katika kila wanawake 10 watatu ni wasagaji
Swali zuri sana byeyomboNaomba kujua walokole kwa English wanaitwaje!
Pale msalabani biblia inadai kwa kupigwa kwake tumekombolewa, na kuwa alikuja kutukomboa kwenye dhambi,wengi na sitaki Unafki
Na wengi wanaojifanya bado maovu yanafanyika
Huo ni Mtazamo wao
Na siwez kumsema mtu ataenda au haendi bali ni Kumsaidia awe kwenye njia Nzuri na kumuombea
Mungu atusaidie
Mungu anatumia njia nyingi kumsaidia Mtu afike mbinguni
Acha ubinafsi Monetary doctorAchana na mambo ya Roman fata ya marekani we mama vipi ?
Kila mtu ajikane binafsi Baki na ulokole wako naye abaki na uroma wake!!
Daaah 😂 mm sina ubinafsi mbona nawapenda walokole shida mna ubaguzi kwa kujiona bora kuliko wengine mkifuatiwa na masalia ya bibi Ellen G whitesAcha ubinafsi Monetary doctor
Ungesoma andiko hili kwanza, usinge-comment hivyo:
Flp 2:4
Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
Hao wenye ubaguzi, nafikiri ni Walokole wa jina tu. Biblia inatukataza kujivuna na kujikweza.Daaah 😂 mm sina ubinafsi mbona nawapenda walokole shida mna ubaguzi kwa kujiona bora kuliko wengine mkifuatiwa na masalia ya bibi Ellen G whites
Umesema kweli MUGOYA2001Yesu anawajua walio wake akirudi ndio utajua haujui pale ambapo wengine wametwaliwa wewe na kiongozi wako wa dini mmeachwa katika dhiki kuu
Soma lile andiko linalosema KUHUSU "wenye mfano wa utauwa lakini wakizikana nguvu zake..."Umesema kweli MUGOYA2001
Ni kweli Yesu anawajua walio wake. Lakini pia alitufundisha jinsi ya kuwatambua walio wake.
Mathayo 7:16-20
Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni. Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.
Ubarikiwe mkuuSwali zuri sana byeyombo
The Swahili term "walokole" generally refers to Pentecostal Christians, though in some contexts it may also broadly include Evangelical believers, ie those who emphasize personal salvation, a born-again experience, and active faith.
In English, the most accurate translation of "walokole," especially when referring to those in revivalist, spirit-filled churches is: "Pentecostals."
However, depending on the speaker’s context or region, walokole might sometimes be used more loosely to refer to born-again Christians, which translates as “born-again believers”
Umeelewa, mkuu?
"ULOKOLE " kwahiyo wasio batizwa kwa maji mengi sio walokole? Ibada hazina shangwe, kunena kwa lugha wala shuhuda za miujiza sio walokole?
YhUmeona eeh?