Zijue nchi wanachama wa OIC

Zijue nchi wanachama wa OIC

Kuna faida gani hapo umeshaona members wake ni Somalia , Afghanistan ,labda ugaidi tu.
Nchi wanachama wapo 50.
Kutolea mfano Somalia na Afghanistan haitoshi.
Kuna Qatar,Indonesia, Malaysia, Saudi Arabia,Iran,Kuwait,Bahrain nchi zote hizo unazionaje kiuchumi!??
Taifa lako la kimaskini linazifikia?
 
Kwann hatumtaki kujiunga jump na mihela ya Msaada Nje Nje?
 
Aya tufanye Bangladesh ndo ipo Ivo, Mauritania, Maldives, Gambia?
Mauritania ni lower-middle income country.
Maldives ni upper middle income country.Yani Maldives ipo kundi moja na Russia,maana Russia nayo ni upper middle income country.

Halafu nchi ulizotaja zote zina population ndogo sana.
Maldives watu wanaoishi below poverty line ni 5% kama sijakosea.
Waliobakia 95% ni middle and upper income earners.
Hivi uliwahi kuifuatilia Maldives mkuu pamoja na economic transformation yake!??
Gambia tunajua ni LDC nation ila inaishi maisha yake.
 
Aya tufanye Bangladesh ndo ipo Ivo, Mauritania, Maldives, Gambia?
Halafu mbona unataja taifa moja moja ukitafuta mataifa dhaifu??
Mbona mataifa yaliyopiga hatua kama Kazakhstan, Kyrgyzstan,Albania,Qatar,Kuwait,Bahrain,Morocco,Algeria,Iran,Brunei,Turkiye,Saudi arabia,Oman,UAE,Egypt,Jordan n.k n.k mbona huzizungumzii!??
Au wewe ni mtu wa kutafuta makosa tu!?
 
Back
Top Bottom