Zijue nchi za Africa na majina yake bandia

Huwa najiuliza why Afrika haiendelei ipasavyo. Leo nimepata jibu sahihi. The Brain itself is, as it were, dead.

Ufunuo wa Yohana 4:2-3
[2]Na mara nalikuwa katika Roho; na tazama, kiti cha enzi kimewekwa mbinguni na mmoja ameketi juu ya kile kiti;
And immediately I was in the spirit: and, behold, a throne was set in heaven, and one sat on the throne.
[3]na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.
And he that sat was to look upon like a jasper and a sardine stone: and there was a rainbow round about the throne, in sight like unto an emerald.
 
Kiti cha enzi umeshakishuhudia mkuu?

Kwani biblia imeandikwa na nani mkuu? Na kwanini upinde unahusishwa na ushoga?
 
Hao wa upinde ndio huohuo wa akina joe Biden au ule wa Richard of York gain betto in vein(Roygbv)
Hiyo Roygbv siye tuliosoma shule za kiswaz tulikuwa tunaanzia kulia kuelekea kushoto: Vailet Binua Gauni Yako Ongeza Raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…