Big Phil
Member
- Nov 20, 2019
- 50
- 339
1. BC INVESTMENT
Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/=
2. QNET
Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia.
3. EARNJET AGENCIES
Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja Tanzania Ili aweze kusajili Platform Yake na BLERA & Vodacom Tz Ili awe na kibali Cha kufanya kazi Tanzania na pia kujiunga Vodacom Ili Withdrawal ziwe zinafanyika Automatic. Kumbe ilikuwa mbinu ya kivita
4. DAJIP
Hii pia ilikuwa kama Earnjet features zake zilifanana sana na Earnjet pamoja na Nextstep Venture na watu walikuja kuhisi kwamba zinaweza kuwa ni platform za mtu mmoja ni baada ya kupigwa pesa zao. Haikudumu sana na walikuwa wanatoa 4% ya uwekezaji wako
5. NEXTSTEP VENTURE
Kama ilivyokuwa Earnjet & Dajip, Nextstep venture ilidumu Kwa muda usiozidi siku 28. Zilipita siku mbili tu ikapotea baada ya kupotea Kwa Earnjet Agencies
6. PAMA FUND
Baada ya muda kidgo kupita iliibuka Pamafund hii ilikuwa 2020. Kiwango Chao Cha chini kuwekeza ilikuwa 100$ kama sikosei. Hawa walikuwa ni wazungu wa mchongo, waliweka masharti na walipanga siku maalumu ya kufanya withdrawal. Siku chache mbele ikafa wakasingizia Kwamba HACKERS wameingilia mifumo Yao hvyo wamelazimika kufungua PAMA 2 Ili watu wajiunge Tena na waweke mitaji upya Mwaka huu wa 2022 zimeibuka nyingi na hapa ndipo wengi walipokuja kulizwa Tofauti na kipindi Cha nyuma.
7. SME
Hawa walikuja na miondoko ya uuzaji na utangazaji wa vifaa Tiba au vifaa vya hospital mfano. Ventilator n.k
Hii ilikuwa inatoa ofa ya 10, 000/=
Unafanya task na Kualika watu pia ulikuwa unapata 300 Kwa Kila referral. Kiwango Cha chini Cha uwekezaji ilikuwa ni 30,000/
Hawa walikuwa na wezi wabobevu kuwahi kutolea kwani watu uliowaalika wasipowekeza kipato chako wanakikata nusu[emoji16]. Ilidumu kama miezi mitatu tu wakaunga na mia
8. IDEA DEBATOR
Sikuwa na experience nayo ila nayo ilijitahidi kukaa Kwa muda mrefu kidogo na watu walijenga Imani nayo baada ya kuona matangazo yamekuwa mengi, na wateja wake wakaprint Hadi Tshirts za ID yaani IDEA DEBATOR
9. DEAL NO. 1
Hii ndio iliongoza kukaa muda mrefu zaidi kati ya zote Hadi wawekezaji wake wakahisi maisha wameyapatia lakni mwisho wa siku iliondoka na mitaji Yao. Wengi wao walipata faida sana
10. SCATEC
Hawa walikuja na miondoko ya utangazaji wa vifaa vya Umeme wa mionzi ya jua yaani solar panel na ulikuwa ukijiunga unapata Tsh. 15000 kama kianzio na Ili utoa Hadi ifike elf 6 na Kila siku lazma ugrab orders. Nayo imeshaenda na maji
11. KAYLNDA
Hii sasa ndio Baba lao kwani watu wengi sana waliiamini baada ya kuona matangazo kwenye Television mabango barabarani pamoja na mikutano mingi mingi ya uhamasishaji. [emoji1485]Mwanzo kabsa walianza Kwa kutoa ofa kwa kufanya task 20 Kila siku Kwa siku 5 Bure [emoji1485]Na ulikuwa ukifikisha 3,000/= unaruhusiwa kutoa, wengi walikuwa wanatoa lakn wachache walifungua account nyingi nyingi na kufanya task Kwa siku Tano na kuondoka na 10000 Kila account na wakaachana na Platform.
[emoji1485]Waliovutiwa au wasiokuwa wahanga wa Networking waliingia Kichwa kichwa na hii ni baada ya matangazo kuwa mengi sana na watu waliowahi kujiunga kuendelea kuwashawishi wenzao Ili wajiunge pia.
Tuendelee kujifunza ili tusiumizwe tena.