Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

Mwanamke malaya atagongwa tu hata na muuza genge au muuza ice cream mtaani...

Mwanamke ambaye sio malaya hatagongwa sababu sio malaya....

Kama mazingira yanamfanya mwanamke asaliti first lazima ujue ulioa malaya.Hii itoshe ku move on.

Nitoe mfano kwenye pombe kama mtu sio mnywa pombe basi hata akikaa na walevi mbwa huwezi kumkuta anakunywa Pombe kama ni mnywaji aliyepumzika kunywa kwa sababu flani flani basi inawezekana mbeleni akanywa pombe kama zile sababu zilizomzuia zitakuwa hazipo.Na kama ni mnywaji ni mnywaji tu...

Kuna wanawake wameolewa na wanaume vituko lakini hawasiliti yaani unakuta mume mlevi,malaya,haachi hela ya matumizi anampiga, analeta watoto wapya ndani lkn mwanamke agongwi nje.

Mfano hai kuna jamaa ana sifa hizo hapo juu basi yule jamaa akatembea na mke wa mlevi mwenzake Bar,yule mlevi ana hela sana akaamua kutaka kulipiza kisasi jamaa alifanya anavyoweza lakini alishindwa kabisa kulipa kisasi.Why? Ni kwasababu jamaa pamoja na madhaifu yake alioa mwanamke sio Malaya inawezakan mwanamke akawa na mapungufu mwngine mchoyo,kiburi au mchafu lakini sio malaya...
Sasa tafuta huyo ndo uoe.Kuna wanawake wana mdomo htr atakujibu anavyotaka lakini sio malaya
 
Hapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Usiruhusu mke kwenda kusoma hata kama ni kichwa wakware watamchapa tu
 
Hayo yote uliyokutana nayo ni malaya tu ila kwa umri wako hauwezijua kama ni malaya.
 
That's awful!
 
Bikra si kigezo cha uaminifu , mkuu jua kuwa kuna vitu vingi vinachangia mtu kuchepuka kikubwa oa mwenye hofu ya mungu peke yake .

N.b
Nimevunja bikra nyingi na bado naendelea kuvunja
No stress , nawasaidia waoaji.
Kuoa bikra n kigezo cha uaminifu hadi mtu ana miaka 24 naaa, huwezi sema atachepuka kwny hio ndoa yake

Ukitoa dame bikra na sio mkeo anaweza chepuka kama hzo 7bu zpo mfano mawasiliano kuachana kwa muda nk

Ila wa ndoa hana kimbilio atarudi tuu
 
Sanaa
 
Nasimamia maneno yangu Shost kwa sbb sio lazima hii kitu au nakoseaa.
Ukiamua hivyo ndivyo itakavyokuwa.kuchepuka ni uamuzi wako hulazimishwi.ukisema hapana kwa uthabiti hili siwezi kufanya.hutafanya.
 
Rate ya likes kwa kila no.
1🌟🌟🌟🌟🌟
6🌟🌟🌟🌟
7🌟🌟🌟
Uchambuzi mzuri sana
 
Kuoa bikra n kigezo cha uaminifu hadi mtu ana miaka 24 naaa, huwezi sema atachepuka kwny hio ndoa yake

Ukitoa dame bikra na sio mkeo anaweza chepuka kama hzo 7bu zpo mfano mawasiliano kuachana kwa muda nk

Ila wa ndoa hana kimbilio atarudi tuu
Usikaze ubongo mkuu mwanamke ambaye anaweza kumkumbuka x wake hata kama akiolewa ni yule aluyezalishwa au aliyejazwa mimba afu ikaharibika kwa njia ya kawaida au kwa ku fosiwa yaaani hata iweje jamaa akitaka atapiga tu fanya yoote atapiga tu.

Ila kwa bikra mkuu sikushauri ujipe high hopes wachache sanaaa tena wenye hofu ya mungu ndiyo hutulia , ila wengine kuchapwa wanachapwa ipasavyo .
 
grand millenial
Sijawahi ona ndoa ya dame ameolewa bikra na akawa & skendo ya kucheat au ndoa hio ikawa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa amani.
SIJAWAHI KUONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…