Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

grand millenial
Sijawahi ona ndoa ya dame ameolewa bikra na akawa & skendo ya kucheat au ndoa hio ikawa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa amani.
SIJAWAHI KUONA
Kama nilivyosema ni kwamba ukiona bikra katulia jua ana hofu ya mungu na dini ameisoma ipo moyoni ila kinyume na hapo utachapiwa tena kimya kimya mnoo hata kujua hautokaa ujue .

Kuna jamaa mmoja kwa kabila anatokea maeneo ya kaskazini na mke wake ni wa kanda za kati mkoa mmoja wapo , huyu jamaaa kiukweli anampenda sana mke wake na sababu kubwa ni amemkuta yupo sealed .

Na anakuambia kipindi amekwisha kuoa kwa mila za kwao ambazo coincidently zimelandana na za upande wa mke wake huwa upande wa mume wanatoa shuka nyeupe na kisha inatandikwa kitandani kwa wanandoa kwa usiku wa kwanza .

Na chumba cha mume na mke huwa hakina kitu chochote zaidi ya kitanda peke yake , sasa wanandoa wakishaingia humo huwa asubuhi shuka inachukuliwa na wananzengo wanaangalia ikiwa na damu inagawiwa vipande viwili kisha , upande wa mke wanapewa chao na mume pia chao .

Na hapo sasa mke ataheshimika mno na kupewa zawadi kem kem.

Shughuli imekuja baaada ya jamaa kuja na mke wake town , mkuu yule mwanamke anapigwa miti mbaya mbovu mbaya zaidi jamaaa hawezi kumuacha aampenda sanaa .

Na mara zote huwa anajihisi labda yeye ndo kamkosea .

Nimekuelezea hivyo ili ujue kuwa umalaya ni tabia ya mtu na kuibadili mpaka yeye mwenyewe aamue kubadilika bila hivyo hakuna kitu.

Na ndiyo maana ninaendelea kuwasaidia kuwavunjia sealed za mabinti zenu pamoja na kula watawa (no offence kwa itakayemuudhi hii post ila no way out).
 
Kuchepuka ni kama mafuriko. Mafuriko hayaepukiki, Kikubwa tuchukue tahadhari
 
Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka.

Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka
1: Kazi
Wanawake wengi huingia katika tamaa ni kutokana utengano uliopo kati ya mume na mke, unaotokana na kazi. Umbali uliopo unao sababishwa na kazi yaani mke Dar na mume Songea. Wanawake wengi wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya.

2: Kutafuta kupata cheo.
Katika maisha hakuna mfanyakazi asiyependa kuwa na cheo. Sasa wanawake wengi wanapoonyeshwa nia ya kusaidiwa kupanda cheo,wapo tayari kutoa mbadala .mwanaume ana njia 3 za kupanda cheo,ndugu kama hana ndugu,atatumia rafiki,kama hana rafiki atatumia fedha. Lakini mwanamke ni tofauti sana

3. Charity
Kuna wageni mbalimbali wanakuja maofisini toka sehemu mbalimbali, sasa katika hali ya kawaida tu utakuta mdada anaonyesha mapokezi ya hali ya juu ,yaliyopitiliza.hadi kumsababishia mgeni kuingia katika tamaa, mwisho wa siku kuombana namba za simu na mwanamke hujikutakuta kaanzisha mahusiano

4.Masomo
Mwanamke akienda kujiendeleza kimasomo hupenda kuanzisha kampani mpya atakayoshirikiana nayo katika masomo.sasa hapo sipendi kuzungumzia sana kwa sabababu kinachotokea huko mavyuoni ndugu msomaji unajua

5. Tamaa ya fedha
Kundi sio wengi sana, ila wako baadhi kila wanapoona nguo mpya, mtindo mpya wa kusuka, wigi mpya halafu fedha hana na anataka aonekane kazini kila wiki kavaa nguo mpya .lazima ataingia katika kuanzisha mahusiano mapya

6. Marafiki
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu ya marafiki. Wengi hawapendi kwenda lodge na hua wangongewa kwa hao marafikia zao.ukiona mke wako ana urafiki na mwanamke ambaye anaishi peke yake shtuka.

7. Kutafuta sehemu ya kuondoa stress
Ndoa nyingi zina shida ya wanandoa kukosa furaha, makwazo n.k. sasa kuna kipindi mwanamke anatafuta sehemu ambayo itampa faraja wakati wa makwazo. Hivyo huanzisha mahusiano ambayo ataitwa baby, mpenzi, maneno ambayo yatampa faraja

8.Kupata fursa za kikazi kama kuhudhuria semina,warsha, makongamano na mikutano
Wanawake wengi wanapenda kutumia fursa zinazojitokeza. Hivyo yupo tayari kumrubuni boss wake ili apate fursa za kikazi zinazoonekana mbele yake. Ukiona mkeo anasafiri sana kikazi jua tu huna mke hapo

9. Safari zinazo ambatana na boss au wanaume wengineo.
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika mtego wa mapenzi kwa kusafiri pamoja na boss wake au wanaume wengineo. Unaitwa njoo kwanza chumbani kuna vitu vya kuweka sawa kabla ya kuingia ukumbini kesho, jua tu unaenda kuliwa hapo, boss kashasimamisha

10. Utani uliopitiliza
Wanawake wengi wamejikuta wameingia katika mahusiano kwa sababu tu ya kuwa na utani uliopitiliza na baadhi ya wanaume. Na wanaume wakatumia chance hiyo hiyo kupata wanacho kihitaji. Mwanamke ambaye yupo serious muda wote ni ngumu sana kumuanzishia habari za mapenzi.

Nb. Wake za watu no kundi la pili linalofuatia kwa uzinifu ukiachilia mbali lile la wauza baa na wanaofanya kazi kwenye malogde.
Wanawake watumishi wengi muda wao wa uzinzi ni Massa ya kazi kuanzia saa 3-9. Saa 9:30 ameshajirudia home, halafu anampigia simu mumewe upo wapi baba,Mimi nipo nyumbani .halafu mwanaume anajisifu mke wangu sio mtembezi. Wakati anacheza na akili zako tu.

Tuonane wiki ijayo nitakuja na mada zijue sababu za wanaume walio oa kuchepuka
Zote za kufikirika halafu zinahusu walioajiriwa tu
 
Doh! You have said it all..
 
Siku hiz married women kinachofanya wachepuke ni hiki👇

👉Good sex and heavy
👉Kupunguza stress

Hizo ndo sababu kuu.

Siku hiz ni rahis kumtafuna mke wa mtu kuliko demu wa kawaida.
💯☑️
 
Nikiwa mkubwa sitawekeza pesa,muda,akili wala mali katika mapenzi.Imagine unawekeza katika mapenzi kisha mke wako anaenda masomoni anaenda kukutana na damu changa na za moto na kuishia kuzitunuku doggy style!🙌🙌🙌

Dunia hadaa ulimwengu shujaa!
😁😁
 
Namba 7 umeuaa...

Na sijui ni kwa nn huwa inatokea hvyo
 
Hapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Ni pipe tu... Mpaka akimaliza chuo millage inasoma digit za kutosha
 
Ukishajua kwanini Babu yako alikuwa akirudi kutoka kwenye mihangaiko yake anapitia kwanza kwenye bao kisha mzigo anampa mtoto atangulize nyumbani ungegundua kuwa HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA .

Kikubwa oa mwanamke mwenye hofu ya mungu , ila kwa hapo kuna tatizo pia Mungu hawezi kukupa aliyetulia kama na wewe haujatulia in short anakupa wa kufanana naye hivyo ukiwa unaomba mke mwama omba wa kufanana na wewe ili usije kulalamikia watu hapa .
Hiyo ya mababu niliiskiaga aisee
 
11. Kupata mwanamme wa kumchezea akili na kula hela zake (kama wafanyavyo mademu wa Kichagga).
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom